Top Songs By OCHUNGULO FAMILY
Credits
PERFORMING ARTISTS
OCHUNGULO FAMILY
Performer
COMPOSITION & LYRICS
ELLY OMONDI
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
AFRICA BEATS
Producer
Lyrics
Dem kako 18 huyo ni start up
Dem kako 30 huyo ni back up
Dem kako 50 hiyo ndio standard
Dem kako 70 ni mumama
Nimekua sin kissed na jaba
Nimekua unleashed ka haaland
She blew me a kiss nikaidaka
I blew her a kiss akaihata
Alphabetic order ina A to Z
Alphabetic sisi inaend in bed
Nina promo code ya sa success
Mungu na bidii na ujanja kidogo
Incubator yangu ilikua imetintiwa
Im impure but nataka dem pure
Nipe nyama ugali me nta ntaiskuma
Tan tan tan ntaiskuma
Love yangu mighty
Vile nimekudedi
Love yangu mighty
Vile nimekudedi
Mungu na bidii na ujanja kidogo
Na ujanja kidogo
Mungu na bidii na ujanja kidogo
Na ujanja kidogo
Mungu na bidii na ujanja kidogo
Na ujanja kidogo
Mungu na bidii na ujanja kidogo
Na ujanja kidogo
Love yangu mighty
Vile nimekudedi
Love yangu mighty
Vile nimekudedi
Usiniharibie mood
Yangu Abdallah unaezaiita Abdul
We hukua Lenovo sa ile me ni MacBook
Im the ex you don't wanna go back to
Life hukua ni movie me nacheki cartoon
Ka niko kwa zoo king kong baboon
Me hukua fly unaezaniita fala douche
Na niko na fudhi shinda ya George bush
Shopping Carrefour na madem carry two
Chumvi na mafuta na unga ya ugali too
Ita beshte yako LGBTQ
Me nadai me herself and you
Alejandro alikulanga madem class two
Dimore alilearn kunywa keg class two
Nelly ali learn bonga sheng' class two
Naomba God atubless mara two times two
Love yangu mighty
Vile nimekudedi
Love yangu mighty
Vile nimekudedi
Mungu na bidii na ujanja kidogo
Na ujanja kidogo
Mungu na bidii na ujanja kidogo
Na ujanja kidogo
Mungu na bidii na ujanja kidogo
Na ujanja kidogo
Mungu na bidii na ujanja kidogo
Na ujanja kidogo
Love yangu mighty
Vile nimekudedi
Love yangu mighty
Vile nimekudedi
Written by: ELLY OMONDI