Music Video

Bora Uhai - Ochungulo Family (Official Video) [ SMS SKIZA 8544825 TO 811 ]
Watch Bora Uhai - Ochungulo Family (Official Video) [ SMS SKIZA 8544825 TO 811 ] on YouTube

Featured In

Lyrics

Bora Uhai Lyrics- Ochungulo Family
Mana bad man ting
Bora uhai kuliko kujidai
Kuliko kujirusha ukajipata umezirai
Na aki walai tumetoka Githurai
Na unadeny manzi wako ananidai
Bora uhai narauka kunywa chai
Nadai kupiga wira na wasee wamedunga tai
Na nijipate klabu na wagurla wamevai
Na zangu zikishika muniwache tu kwa ndai
Bora uhai na huwanga sijidai
Na kuwanga niko rada kama nganya za Rongai
Na huwanga nina dreams za kukupeleka Dubai
Na baby ukiniita nitakam sai sai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Naitwa D More
Na mi ni ngori
Apa mtaani tumeleta ngori
Ngoma zetu zimeshika kikoro
Mababi na maodi wanatufollow
Bora uhai na zimenasa
Kwa ziki zimeshika na nikona kijaba
Ikikosekana ninapick it upya
Maisha yangu siku izi inanibamba
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora uhai kuliko goodbye
Kuliko kukutext na bado hujareply
Kuliko kunichocha ukinicheki eye to eye
Kuliko nikucheki ukiseti tu mangwai
Bora uhai na si ati kujidai
Madame hunidai
Juu mi hukuwa fly
Bora uhai na nywele nimedye
Toa fom tukuonyeshe vile kunadai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora uhai kuliko kujidai
Kuliko kujirusha ukajipata umezirai
Na aki walai tumetoka Githurai
Na unadeny manzi wako ananidai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Bora Uhai
Written by: David Omondi, ELLY OMONDI, Nelson Liena
instagramSharePathic_arrow_out