Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Sir jay Tz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Sir jay Tz
Songwriter
Lyrics
AAAAH ISHUUU
MAZEGELE BOY
NA CHINO WANAMAN
CHINOOO SUTI BEGA
EYOO TRONE
VERSE 1
OYAA NIMEKUTANA NA BONGE LA DEMU BONGE LA SHEPU MAN ILA VISIGINO MHHH
TETANUS KATOBOA PUA NA MASIKIO MHHH
NIKAMWAMBIA WE BIBIE NATAKA KUTIKISA NYAVU KA DIDER MHHH
BIG YES AKANIPA RUKSA NIKATITIE MHHH
ZILE KIRIKIKIKI USIKU TUNA KWICHIKWICHI MHHH
MINA UCHU KA FISI NIKINOGEWA SIJIFICHI MHHH
SI NIKAKOSA USINGIZI MWENDO WA KUBINYA BINYA MATIKITI MHHH
KAKATAKA PIPI NIKAKATAFUNA KAMA BIG G
OYAA USIKU KUCHA
OHOOO MHHH
OHOOO MHHH
OHOOO MHHH
OHOOO MHHH
OHOOO MHHH
OHOOO MHHH
OHOOO MHHH
OHOOO MHHH
VERSE 2
ALIJIFANYA KICHECHECHE KUMBE MI MWENYEWE NINA MAKEKE
NIKABADIRIKA KAMA MACHETE NIKAMPA RUNGU LA KIPEPEPEPEPE
ALILETA ZA KULETA AKAULIZA VIPI NIKASEMA TUNAKESHA
CHINO INVISIBLE NI MWENDO WA MATEKA TEKA TEKA HAINA KU SHESHA ISHUUU *2
ZILE KIRIKIKIKI USIKU TUNA KWICHI KWICHI MHHH
MINA UCHU KA FISI NIKINOGEWA SIJIFICHI MHHH
SINIKAKOSA USINGIZI MWENDO WA KUBINYA BINYA MATIKITI MHHH
KAKATAKA PIPI NIKAKATAFUNA KAMA BIG G OYAA
USIKU KUCHA
OHOOO MHHH
OHOOO MHHH
OHOOO MHHH
OHOOO MHHH
OHOOO MHHH
OHOOO MHHH
OHOOO MHHH
OHOOO MHHH
Nilikutana na bonge la demu bonge la shepu ila visigino
Tetanus katoboa pua na masikio
nikamwambia we bibie Nataka kutikisa nyavu ka didier
big yes akanipa ruksa nikatitie
Na chino wanaman
Written by: Sir jay Tz