Top Songs By Sir jay Tz
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Sir jay Tz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Sir jay Tz
Songwriter
Lyrics
Mwanangu njoo mabingwa wanakuita leo,
njoo utuone watoto wa jangwani
sisi ni yanga.
pacheko midundo.
Wananchii, ooooh!!!!
wananchii ooooh!!!!!
Ukiona azizi kaanzia bench usipagawe mtego huo,
professa akifanya sub jiandae utaumia,
siku mayele akikamia match bwana mtego huo,
labda mtoe goli mtoe nyavu vinginevyo mtaumia,
Mtego huo utaumia x3
kwanza Tunawauzi Tunawakera Tunawaboa,
Ligi ya ndani kimataifa tunatoboa,
wataweza kweli wanajaribu kutubomoa,
yanga mashine kubwa inayosaga na kukoboa,
nenda kawaambie tuna ugwadu tuna usongo,
tutoke tuende wapi yanga afrika sindo mchongo,
Kwenye mikono salama engineer katuliza ubongo,
wananchi daima mbele asiyetaka akae chonjo,
ukiona wananchiii wamezivaa jezi nyeusi mtego huo,
usiingize timu nakushauri utaumia,
kama timu yako inawavunja kuni mtego huo,
mvua ya magoli beba mwamvuli,
ukiona azizi kaanzia benchi usipagawe mtego huo,
professa akifanya sub jiandae utaumia,
siku mayele akikamia bwana mtego huo,
labda mtoe goli mtoe nyavu vinginevyo mtaumia,
Mtego huo mtaumia x3
Hii safari ya ubingwa wananchi inataka umoja,
inataka mshikamano wote tuweke pembeni uwoga,
Tukiingia dimbani point tatu kwenye mkoba,
situmependa maua wananchi tupende na maboga,
ukiona joyce lomalisa ameyamwaga maji mtego huo,
kenedy musonda anaweka kambani utaumia,
ukituona watoto wa jangwani mtego huo,
ukijiona kolo ukae mbali.
wananchii, oooh!!!!
wananchiii
ukimuona kolo mtie singi gsm atalipa,
mtie bai mtie singi engineer atalipa,
ukimuona kolo mtie singi arafat atalipa,
mtie bao mtie singi ali kamwe atalipa,
anhaaa
ruka na mazegele boy
Written by: Sir jay Tz