Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Killy Tz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Killy
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mocco Genius
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Macho yangu yalikuita ukaitika
Na kweli ukajongea taratibu uuh!
Uuh! Uuuh! Uuuh!
[Verse 2]
Bila wasi karibu yangu ulifika
Ila nikachelewa kupata majibu uuh!
Aah!
[Verse 3]
Pendo lako kwangu nikasubiri mpaka uridhie
Kweli we ndo wangu usifiche siri watangazie
Pendo lako kwangu nikasubiri mpaka uridhie eeh!
Kweli we ndo wangu usifiche siri watangazie eeh!
Nisije nkafa kwa presha mama
[Chorus]
I love you maa (We ndo wangu)
I love you mama (We ndo roho yangu uuh!)
I love you maa (Kichuna changu)
I love you mama (Waambie eeh!)
[Chorus]
I love you maa(we ndo wangu)
I love you mama(We ndo roho yangu uuh!)
I love you maa (Kichuna changu)
I love you mama (Waambie eeh!)
[Verse 4]
Nilikupaga vishilingi shilingi lakini bado hukusikia
Mazaga zaga kwa wingi ili roho yako iweze tulia
Mi nikajitoa akili yangu uuh! Uuuh! Na moyo (Moyooo)
Eti penzi lako sio type yangu dah!
[PreChorus]
Pendo lako kwangu nikasibiri mpaka uridhie
Kweli we ndo wangu usifiche siri watangazie
Pendo lako kwangu nikasubiri mpaka uridhie eeh!
Kweli we ndo wangu usifiche siri watangazie eeh!
Nisije nkafa kwa presha mama
[Chorus]
I love you maa (We ndo wangu)
I love you mama (We ndo roho yangu uuh!)
I love you maa (Kichuna changu)
I love you mama (Waambie eeh!)
[Chorus]
I love you maa (We ndo wangu)
I love you mama (We ndo roho yangu uuh!)
I love you maa (Kichuna changu)
I love you mama (Waambie eeh!)
Written by: Killy