Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ruby Afrika
Performer
COMPOSITION & LYRICS
calad
Songwriter
Hellen Majeshi
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Abbah
Producer
Lyrics
Ooh, ooh, ooh yeah, yeah, yeeah, hoo, hoo, hoo, uuhh
Naenjoy kwa penzi lako niko hoi (Tupo wawilii), sichomoi forward wangu tia magoli (Tupo wawil)
Babaah naenjoy kwapenzi lako niko hoii, sichomoi forward wangu tia magoli yee
Love make love till I die, love make love till I die, love make love till I die
Ooh, ooh, ooh, nibebe mawazoni unifae mapenzinii, tupae wote angani tuwe kama nyota na mwezi
Mahaba kama pombe la kibaniani nakupa vyote komba vya kwenye sahani, diner twende China ama Taiwan
Ooh umenishika shingoni kama tayarii mwenzako choka mbaya we uhali gani usije badirika kuwa hayawani, you got me falling love aah
Naenjoy kwapenzi lako niko hoi (Tupo wawilii), sichomoi forward wangu tia magoli (Tupo wawil)
Babaah naenjoy kwapenzi lako niko hoii, sichomoi forward wangu tia magoli yee
Love make love till I die, love make love till I die, love make love till I die, love make love till I die
Uuh yeeh, yeeh eeh mmh, usiwe na pupa baba kula nyama yote nibaki mifupa, utakacho nitakupa ila chunga sana-sana nisije juta
Hee hisia nizipeleke tanga nkuroge kwa huba kiunoni nidondoshe shangaa eeh, hakuna kukesha kwa mganga utamtam kamanda kavua na gwanda
Eeh I take you to the top, top pita katikati mpaka kwenye nyayo za miguu eeh
She say baby stop, stop vitu navyo fanya si I go mad over you (Yeah)
Nampigia simu five times in a day mchana na mtext naenda na lunch takeaway
Ukitaka kitu sema mama usiogope bei life ime change take it take it am gonna pay
And don't worry about anything trying do the right thing for you, you feelin' me
Watakwambia ntakuacha chini amini usi amini one day you wear diamond ring hee uuuh yeah, yeah
Naenjoy kwapenzi lako niko hoi (Tupo wawilii), sichomoi forward wangu tia magoli (Tupo wawil)
Babaah naenjoy kwapenzi lako niko hoii, sichomoi forward wangu tia magoli yee
Love make love till I die, love make love till I die, love make love till I die
Written by: Hellen Majeshi, calad