Featured In

Lyrics

[Verse 1]
Mapenzi ya siku hizi sio kama ya before
Unaeza ekeza kila kitu ulicho nacho kisha ukatoka zero
Sina muda wa kuzuga,Sema ukweli wako
Maana maji yamezidi unga,Yamenifika kwa koo
[PreChorus]
Somebody tell me how to please a woman
Somebody show me how to please a woman
And I'm going out of my way just to please a woman
Spend all my money just to please a woman
[Verse 2]
Yeah, ye ndo kisa nko club
Kila siku ni masela na ulabu,ah
Nyumbani hapakaliki tabu
Kesi, mashtaka nina somewa vitabu
[Chorus]
Uuh yee
Nenda, basi nenda
Japo talaka yako, rudi kwa mama yako
Uuh yee
Nenda, basi nenda
Japo talaka yako, rudi kwa mama yako
[Chorus]
Mmh-mh terminator
Ooh-oh terminator
Go and try terminator
Mmh-mh terminator
Ooh-oh terminator
Mmh-mh terminator
Go and try terminator
Mmh-mh terminator
[Verse 3]
Mbona unacomplicate na maisha simple
Utaniua na stress na makasiriko
Mbona unacomplicate na maisha simple
Utaniua na stress na makasiriko
[PreChorus]
Somebody tell me how to please a woman
Somebody show me how to please a woman
And I'm going out of my way just to please a woman
Spend all my money just to please a woman
[Verse 4]
Yeah, ye ndo kisa nko club
Kila siku ni masela na ulabu,ah
Nyumbani hapakaliki tabu
Kesi, mashtaka nina somewa vitabu
[Chorus]
Uuh yee
Nenda, basi nenda
Japo talaka yako, rudi kwa mama yako
Uuh yee
Nenda, basi nenda
Japo talaka yako, rudi kwa mama yako
[Chorus]
Mmh-mh terminator
Ooh-oh terminator
Go and try terminator
Mmh-mh terminator
[Outro]
Ooh-oh terminator
Mmh-mh terminator
Go and try terminator
Mmh-mh terminator
instagramSharePathic_arrow_out