Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Ali Mukhwana
Ali Mukhwana
Songwriter

Lyrics

[Chorus]
Mungu wangu ni wewe, Jehovah ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
Mwenye enzi yote na utukufu wote ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
Mwenye nguvu zote, heshima yote ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
Mwenye enzi yote nakuinulia macho yangu
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
[Verse 1]
Eeh baba niseme nini mbele zako
Weka wako niulinganishe na nini Bwana
Umekuwa kimbilio maishani mwangu
Umekuwa tegemeo maishani mwangu
[Verse 2]
Kibali niliyo nayo ni juu ya neema yako
Umbali nimefika ni juu ya neema yako
Ingekuwa mwanadamu singestahili lolote
Ingekuwa mwanadamu singepata chochote
Ni juu yako tu niko jinsi nilivyo oo
Ni juu yako tu niko hapa leo
Eeh Yesu we Yesu we, nani kama wewe
[Chorus]
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
Alpha na Omega aliyekuwa, atakayekuwa ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
Ulinipenda ukaniokoa kwa damu yako
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
Kila goti lipigwe, kila ulimi ukiri ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
[Bridge]
Yesu ni wewe, Baba ni wewe
[Verse 3]
Uliyeniita na kunikomboa ni wewe
Uliyeniita na kunikomboa ni wewe
Niseme nini mbele zako Bwana wangu
Wewe ndiwe utaye katikati ya mavumbi
Tena ni wewe uketishaye na wakuu
Ni wewe Mungu wangu ni wewe, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
Taa ya miguu yangu Baba ni wewe, ni wewee
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
Uliyenihesabia haki Baba ni wewe, ni wewe Baba
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
Sitambui mwingine, sijui mwingine, Baba ni wewee
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwanaa
Wokovu wangu, uzima wangu Baba ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
[Verse 4]
Nisipo kimbilia wewe ni nani mwingine
Nisipo mtazamia wewe ni nani mwingine
Vizazi hata vizazi vyakufahamu wewe
Dunia yote yakufahamu wewe, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
Kimbilio langu, mwamba wangu ni wewe, Baba ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
Mungu wa majira yote, hakuna likushindalo kamwe
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
Uliye na haki ya uzima ni wewe, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
Mungu wa milele, Mungu wa ushindi ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe Bwana
Ni wewe, ni wewe Yahweh
[Chorus]
Bila wewe Yesu ee (Siweezi)
Bila wewe uwepo wako (Siweezi)
Bila wewe nguvu zako kwangu (Siweezi)
Nimetambua bila wewe (Siweezi)
Baba bila uzima wako mimi (Siweezi)
Baba bila kusema nami Baba (Siweezi)
Na mimi nitakuwa mgeni wa nani bila (Siweezi)
Na mimi nani angenipenda mimi Bwana (Siweezi)
[Chorus]
Hakuna aliye, aliye, aliye
Hakuna aliye kama wewe Mungu wangu
Hakuna aliye, aliye, aliye
Hakuna aliye kama wewe Mungu wangu
[Verse 5]
Hakuna aliyenifia msalabani eh, eh
Hakuna aliyeniokoa kama wewe
Hakuna aliyelipia gharama yangu
Hakuna aliyenipenda kama wewe
Hakuna aliyee, aliye, aliye kama wewe
[Chorus]
(Kwake Jehovah tumesimama leo) Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni Yesu
(Kwake Yahweh tunasimama leo) Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni Yesu
(Kwake Masihi nimesimama leo) Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni Yesu
(Aliyeniumba ni yeye Bwana wangu) Ndiye mwamba ni Yesu
(Ndiye, ndiye, ndiye, ndiye, ndiye) Ndiye mwamba ni Yesu
(Aliyenikubali ni yeye Bwana) Ndiye mwamba ni Yesu
(Na uchungu wangu mimi eeh, na matatizo yangu) Ndiye mwamba ni Yesu
[Outro]
Ndiye mwamba, ndiye mwamba, ndiye mwamba ni Yesu

Written by: Ali Mukhwana
instagramSharePathic_arrow_out