Lyrics

Nilikuelezeanga ooh mama Fatou, wangu mamaa
Nilikuelezeanga ooh mamaa Fatou, wangu mamaa
Mapenzi ya kwetu eeh haita tawi hata mamaa

Tabia yako na yangu haisikilizanii
Tabia yako na yangu haisikilizanii
Unaona-unaona sasa we mama
Unaona-unaona sasa we mama
Unapenda kuvaa mimi sina namna oh Fatou wee
Unapenda kula vizuri mimi sina pesa oh Fatou wee
Nipe mali sizoee, niuwe mutu nipate dawa ya fedha
Niuwe mutu watanifunga, niuwe mutu dhambi kwa Mungu Baba
Kama hunipendi weye uende lote mamaa, kama hunipendi weye uende lote mamaa
Shauri yakoo, shauri yako eeh, shauri yakoo, shauri yako eeh
Shauri yako wende lote Zena wangu, siwezi kuua mutu mama dhambi kwa Mungu Baba yoo, siwezi kuua mutu mama, dhambi kwa Mungu Baba yoo
Shauri yako, shauri yako eeh, shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako wende lote Zena wangu, siwezi kuua mutu mama dhambi kwa Mungu Baba yoo, siwezi kuua mutu mama, dhambi kwa Mungu Baba yoo
Niibe mali watanifungaa, niuwe mutu dhambi kwa Mungu Baba
Kama hunipendi weye uende lote mama, kama hunipendi weye uende lote mamaa

Niibe mali ukitaka watanifunga mamaa, niue mtu dhambi kwa Mungu Baba eh
Kama hunipendi bibi yangu uende lote mamaa, kama hunipendi uende lote mama
Niibe mali ukitaka watanifunga mamaa, niue mtu dhambi kwa Mungu wee
Kama hunipendi bibi yangu uende kwenu mama, kama hunipendi uniwache yangu mama eeh
Kama hunipendi Sheri mama uende lote
Ohh uende lote mamaa, ohh uende lote mama
Ohh uende lote mamaa, ohh uende lote mama (Ohh Zena wangu)
Ohh uende lote mamaa, ohh uende lote mamaa
Ohh uende lote mamaa, ohh uende lote mamaa
Ohh uende lote mamaa, ohh uende lote mamaa
Ohh uende lote mamaa, ohh uende lote mama
Written by: Mutonkole Longwa
instagramSharePathic_arrow_out