Lyrics
Nilikwelezeyaka oh mama, Fatou, wangu mama
Nilikwelezeyaka oh mama, Fatou, wangu mama
Mapenzie ya kwetu eeh haitakawianga mama
Mapenzie ya kwetu eeh haitakawianga mama
Tabia yako na yangu haisikilizani
Tabia yako na yangu haisikilizani
Unaona, unaona sasa we mama
Unaona, unaona sasa we mama
Unapenda kuvaa, mimi sina namna oh Fatou we
Unapenda kula vizuri, mimi sina pesa oh Fatou we
Niibe mali, sizoe
Niuwe mutu, nipate dawa ya feza
Niuwe mutu watanifunga
Niuwe mutu dhambi kwa Mungu Baba
Kama hunipendi we, uende lote mama
Kama hunipendi we, uende lote mama
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako, shauri yako eeh
Shauri yako wende lote Zena wangu
Siwezi kuua mutu mama dhambi kwa Mungu Baba yo

Niibe mali watanifunga
Niuwe mutu dhambi kwa Mungu Baba
Kama hunipendi we uende lote mama

Niibe mali ukitaka watanifunga mama
Niuwe mutu dhambi kwa Mungu Baba
Kama hunipendi we uende lote mama
Kama hunipendi we uende lote mama
Niibe mali ukitaka watanifunga mama
Niue mutu dhambi kwa Mungu eh
Kama hunipendi bibi yangu, uende kwenu mama
Kama hunipendi uniwache yangu mama eeh
Kama hunipendi Cherie Mama wende lote
Ohh wende lote mama
Ohh wende lote mama
Ohh wende lote mama
Ohh wende lote mama
Ohh wende lote mama
Ohh wende lote mama
Ohh wende lote mama
Ohh wende lote mama
Ohh wende lote mama
Ohh wende lote mama
Ohh wende lote mama
Ohh wende lote mama
Written by: Arr. Super Mazembe, Jim Chuchu, Nguashi Ntimbo