Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mbuzi Gang
Mbuzi Gang
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joseph Nyamwea
Joseph Nyamwea
Songwriter
Mike Makori
Mike Makori
Songwriter
Moses Otieno
Moses Otieno
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Peter Ochieng Otieno
Peter Ochieng Otieno
Producer

Lyrics

Wewe unanitaka hunitaki
Sema haraka usinibo
Ama nitumie takitaki
Na kama hunipendi just go
Wale wa kusimp madame wacheap
Wale hutegemea mandume kudrink
Wale hunywa gin
Wale huvaa pink
Maboy malightskin husemanga tings
Unanibo
Event hatujafika na fulla ashanibo
Napata dm kutoka kwa dame akona ball
Napata katext kutoka kwa ex nitume doh
Bash aside na anadai nibuy doll
Fuliza nadeleza tala jozi inaniboo
Kwa nyumba unanizungusha ah meri go
Sina kachedo usiniiite daddy Oh
Busy booy make me dance, unaniboo
Ah fathermoh kwanza huboo
Hawezi buy hata zile tokens za soo
Ye hutumia stima najua akiwa choo
Na jogoo hajawika ameniweka kwa koo
Wewe unanitaka hunitaki
Sema haraka usinibo
Ama nitumie takitaki
Na kama hunipendi just go
Wale wa kusimp madame wacheap
Wale hutegemea mandume kudrink
Wale hunywa gin
Wale huvaa pink
Maboy malightskin husemanga tings
Unanibo
Pesa huna na tayari ushaleta zogo
Si tushalewa na hatutapiki mboga
Pombe hujalipia na unaikunywa kama soda
Kwanza hujaoga na unastepu za kishow
Rada yako ni gani
Umeletwa hapa na nani
Kama nakosea samahani
Hatuezi bonga kama huna majani
Walaaai umeniboo
Aki ya nani umeniboo
Wewe unanitaka hunitaki
Sema haraka usinibo
Ama nitumie takitaki
Na kama hunipendi just go
Wale wa kusimp madame wacheap
Wale hutegemea mandume kudrink
Wale hunywa gin
Wale huvaa pink
Maboy malightskin husemanga tings
Unanibo
Yangu si ya kwanza cashkid ashanibo
Usinicall tena sikushika ju unaniboo
Silipi fare nalipa cab cheki usiniboo
Usibongeshe umbleina hujajenga hata choo
Fathermoh unaniboo
Design we hushinda choo
Girls wako huningwaa
Ananitext kukuboo
Kiatu Christian dior
Juu ya sole inaniboo
Ngoma zangu before nikue na hit huniboo
Drinks ni mimi nimebuy bouncer usiniboo
Usipuke kwa kiti na kwangu ndani kuna choo
Ya kortini gani una madeni unaniboo
Waweka curfew nini gava imeniboo
Wewe unanitaka hunitaki
Sema haraka usinibo
Ama nitumie takitaki
Na kama hunipendi just go
Wale wa kusimp madame wacheap
Wale hutegemea mandume kudrink
Wale hunywa gin
Wale huvaa pink
Maboy malightskin husemanga tings
Unanibo
Written by: Joseph Nyamwea, Mike Makori, Moses Otieno, Peter Ochieng
instagramSharePathic_arrow_out