Top Songs By Trio Mio
Credits
PERFORMING ARTISTS
Trio Mio
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tj Mario Kassella
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Sai matha ako set
Nakumbuka nikifukuzwa class juu sina geometrical set
These days ni mambichwa na set
These days ni mavin kwa set
[Verse 2]
Breadwinner at 16
We ulikuwa yardie unaendesha mpara
Na ambition ya kunyoa kipara
Ju umecheki Stonecold, wrestle umafala
Same **** kwenye comment section
[Verse 3]
Advice nyingi mawaidha ashaanza
Trio Mio usiforget education
Life ain′t easy kusoma ni kwanza
Sidang ma najifanyanga wajanja
Akiconcern mi niko fity ng'ang′ana
Gikomba vile nausea bidhaanga
Siko njaa mi juu ya mbuta uganga
[Verse 4]
Trio Mio aki your own man dem VIP fine settings
Na magyaldem round idea under 18 can't get in
Everyday mi na pray to the most high bless my brejin
Blessing in ambudance, settings huwanga lazma
[Chorus]
Buda mi nabet bread na my bro
Gang gang tunaglow
Mandem set ni fine, set ni fine
Gyaldem set ni fine, set ni fine
Fine settings, prr
Fine settings, aha aha
[Verse 5]
Buda mi nabet bread na my bro
Gang gang tunaglow
Mandem set ni fine, set ni fine
Gyaldem set ni fine, set ni fine
Fine settings, prr
Fine settings, aha aha
[Verse 6]
Set ni fine, set ni fine
Hii maisha na normalize
Hizi ni mandoto navisualize
Siku hizi ni maphoto na socialites
[Verse 7]
Mi hukula kuku na mkono
Utamu hupungua nikikula fork and knife
Mimi na supu kwa mdomo
Life huwanga fupi unaeza chocha overnight
Cheza na mi bro, prrr
[Verse 8]
Hii mkwanja ni nyingi, ni comical Elsa majimbo
Income ni multiple capital pesa ya wimbo
Nakaza kamba ki juggernut
Nataka German kwa parking lot
Breakfast ya Java na apricot
[Verse 9]
Walisema one year max
Trio kata chapa kakibreak voice
Oya man hold this nut
Mtafanya bado mi namake noise
[Verse 10]
Wanafanya jumping jugs
Press up lemme tell you something man
Pressure kwangu huwa nothing fam
Never Trio kuteveva
[Chorus]
Buda mi nabet bread na my bro
Gang gang tunaglow
Mandem set ni fine, set ni fine
Gyaldem set ni fine, set ni fine
Fine settings, prr
Fine settings, aha aha
[Chorus]
Buda mi nabet bread na my bro
Gang gang tunaglow
Mandem set ni fine, set ni fine
Gyaldem set ni fine, set ni fine
Fine settings, prr
Fine settings, aha aha
[Verse 11]
Ye husemanga dosi kila kitu
Wao husemanga jiongelelee
Mkicheza draft na mapekelee
Kazi mushene juu ya mawe
Mi nataka tuongezee na bonge la bima
[Verse 12]
Leather interior
Mnabonga na pingu nyi ni inferior
Mboka napiga vile nafikiria
Utadhani mbogi ni 2 seater huwezi nikaribia
[Verse 13]
Ki PLO Lumumba na hii mziki
Ni lengo si dumba nyi hamshiki
Kibisco kwa nyumba maandishi
Mnapaka wino kwa sura za mashabiki
[Verse 14]
Wako student league na hii fluency
Mi nina fluent speech only a few mcees
Wanaeza mess na mimi let the viewers see
Nani bazeng wa jiji na hii music shit
[Verse 15]
Chill acha nirelax, skill nilipewa marks
Nafeel wanilipe tax everytime nikispit juu ya pic na ni facts
Lets keep it factually na mizani ni nyingi
Zingine nakinda naskia kwa redio
Hizi facts ni clear upende usipende utaniskia
Ka sauti ya risasi huachia
Written by: Tj Mario Kassella