Music Video

CHAKUTUMAINI SINA // MSANII MUSIC GROUP SMS SKIZA 7639862 TO 811
Watch CHAKUTUMAINI SINA // MSANII MUSIC GROUP SMS SKIZA 7639862 TO 811 on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Msanii Music Group
Msanii Music Group
Choir
COMPOSITION & LYRICS
Joash Nyamongo Ongechi
Joash Nyamongo Ongechi
Songwriter
Msanii Music Group
Msanii Music Group
Arranger
PRODUCTION & ENGINEERING
Msanii Music Group
Msanii Music Group
Producer

Lyrics

CHA KUTUMAINI SINA
Cha kutumaini sina, ila damu yake Bwana
Cha kutumaini sina, ila damu yake Bwana
Sina wema wa kutosha, dhambi zangu kuziosha
Cha kutumaini sina, ila damu yake Bwana
Sina wema wa kutosha, dhambi zangu kuziosha
Kwake Yesu nasimama
Male voices- (ni mwamba, ni mwamba, ni salama)
Ndiye mwamba ni salama
Male voices- (ni mwamba, ni mwamba, ni salama)
Kwake Yesu nasimama
Male voices- (ni mwamba, ni mwamba, ni salama)
Ndiye mwamba ni salama
Male voices- (ni mwamba, ni mwamba, ni salama)
Njia yangu iwe ndefu
Yeye hunipa wokovu
Mawimbi yakinipiga
Nguvu zake ndizo nanga
Njia yangu iwe ndefu (mimi)
Yeye hunipa wokovu
Mawimbi yakinipiga
Nguvu zake ndizo nanga
Kwake Yesu nasimama
Male voices- (ni mwamba, ni mwamba, ni salama)
Ndiye mwamba ni salama
Male voices- (ni mwamba, ni mwamba, ni salama)
Kwake Yesu nasimama
Male voices- (ni mwamba, ni mwamba, ni salama)
Ndiye mwamba ni salama
Male voices- (ni mwamba, ni mwamba, ni salama)
Damu yake na sadaka
Nategemea daima
Yote chini yakiisha
Mokozi atanitosha

Nikiitwa hukumuni
Rohoni nina amani
Nikivikwa haki yake
Sina hofu mbele zake

Male voices- (ni mwamba, ni mwamba, ni salama
Written by: Joash Nyamongo Ongechi
instagramSharePathic_arrow_out