Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Christopher Mwahangila
Christopher Mwahangila
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christopher Mwahangila
Christopher Mwahangila
Songwriter

Lyrics

[Intro]
Nitetee Mungu, nitetee Baba
Nitetee Mungu wangu, Bwana
Nitetee Mungu, nitetee Baba
Nitetee Mungu wangu, Bwana
[Verse 1]
Nitetee Mungu wangu
Nitetee Mungu wangu
Nitetee Mungu wangu
Nitetee Mungu wangu
Nakuomba Mungu
[Verse 2]
Safari yangu imejaa vikwazo
Safari yangu ina vita kubwa
Safari yangu imejaa vikwazo
Safari yangu ina vita kubwa
[Verse 3]
Bila wewe Mungu, sitafika popote
Bila wewe Bwana, sitafanya chochote
Nitetee Mungu wangu
Nitetetee, Baba yangu wewe
Nitetee Mungu wangu
Nitetetee, Baba
Oh nakuomba Mungu wangu
[Chorus]
(Nitetee Mungu) Nitetee Mungu, (We Mungu) nitetee Baba (We Mungu wa Mbinguni)
Nitetee Mungu wangu (We baba), Bwana (Nakuomba Mungu wangu)
Nitetee Mungu, (Ninakuomba Mungu wangu) nitetee Baba (Ninakuomba Baba)
Nitetee Mungu wangu (Eh), Bwana (Bila wewe siwezi)
Nitetee Mungu, (Bila wewe siwezi) nitetee Baba (Siwezi pekeyangu Bwana)
Nitetee Mungu wangu (We Baba), Bwana
[Verse 4]
Adui zangu wamenitegea, mitego mibaya
Lengo lao kwangu, wanataka waniangamize
Adui zangu wamenitegea, mitego mibaya
Lengo lao kwangu, wanataka waniangamize
[Verse 5]
Nitetee Mungu, nitetee
Nitetee Bwana wangu, pigana nao
Nitetee Mungu, nitetee
Nitetee, Bwana, pigana nao
[Verse 6]
Matamanio yao kwangu, sio mazuri
Mawazo yao, sio mazuri
Mipango yao kwangu, sio mizuri
Wananitazama kwa macho mabaya
Nitetee Mungu wangu
Nitetee Bwana wangu, nakuomba Mungu
[Chorus]
Nitetee Mungu, (We Mungu) nitetee Baba (We Mungu Wa Mbinguni)
Nitetee Mungu wangu (We Baaba), Bwana (Ninakuomba Mungu Wangu)
Nitetee Mungu, (Nakuomba Mungu Wangu) nitetee Baba (Nakuomba Baba)
Nitetee Mungu wangu (Eh), Bwana (Bila wewe siwezi)
Nitetee Mungu, (Bila wewe siwezi) nitetee Baba (Siwezi peke yangu Bwana)
Nitetee Mungu wangu (We Baba), Bwana
[Verse 7]
Nimesikia mingongono, ya adui zangu
Wengi wanasema, tuone atafika wapi
Nimesikia mingongono, ya adui zangu
Wengi wanasema, tuone atafanya nini?
[Verse 8]
Fanya kitu Bwana, wajue
Fanya kitu Bwana, wakutambue
Dhibitika mbele yao, wajue
Dhibitika mbele yao, wajue
[Verse 9]
Pigana nao, Bwana wajue
Nenda mbele yangu, Bwana
Nenda mbele yangu, nitetee
Nenda mbele yangu
Nitetee Mungu wangu wee
[Chorus]
(Nitetee Mungu) Nitetee Mungu, (We Mungu) nitetee Baba (We Mungu wa Mbinguni)
Nitetee Mungu wangu (We baba), Bwana (Nakuomba Mungu wangu)
Nitetee Mungu, (Ninakuomba Mungu wangu) nitetee Baba (Ninakuomba Baba)
Nitetee Mungu wangu (Eh), Bwana (Bila wewe siwezi)
Nitetee Mungu, (Bila wewe siwezi) nitetee Baba (Siwezi pekeyangu Bwana)
Nitetee Mungu wangu (We Baba), Bwana
Written by: Christopher Mwahangila
instagramSharePathic_arrow_out