Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Masauti
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Masauti
Songwriter
Trio Mio
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mavo On The Beat
Producer
Lyrics
No stress have some fun, no! stress have some fun
No stress have some fun, no stress have some fun
I say, burry your problems for a minute thank God for the life
Live true and honest to yourself you n should never lie
Na usikufuru usichome rada safi bora tu kujinice
Put a smile on your face, haya maisha you only live once
Whichever the matter the case, nashukuru Mungu anabless
Siskize maneno ya watu, utakonda
Utakonda
Juhudi na haso ni zako, kujituma nakumwaga jasho
Chorea maneno ya watu, utakonda
Utakonda
Kama ni wakushikisha
Shikisha
Ni wakulewa
Lewa
Ni wakuchoma
Choma, lewa, shikisha
Kama ni wakushikisha
Shikisha
Ni wakulewa
Lewa
Ni wakuchoma
Choma, lewa, shikisha
No stress have some fun, no! stress have some fun
No stress have some fun, no! stress have some fun
No stress have some fun, no! stress have some fun
No stress have some fun, no! stress have some fun
Unataka kujibamba usiogope, basi kula tungi mpaka ulewe tepe-tepe
Yani hapa leo full sheshe, pombe ni nyingi na zipo aina zotee
Shiro nishatuma fare utakuja ama utakula
Kina Caro wako juu ya mashisha wanavuta wakichachisha
Shiro ulikule fare nishatuma basi we kuja
Kina Caro wako juu ya mavela wanavuta wakichachisha
Mbona tujitie stress tunakula bata ile kinyama
Sitaki mtu anipimie nafanya nachokitaka ni yangu hela
Kama ni wakushikisha
Shikisha
Ni wakulewa
Lewa
Ni wakuchoma
Choma, lewa, shikisha
Kama ni wakushikisha
Shikisha
Ni wakulewa
Lewa
Ni wakuchoma
Choma, lewa, shikisha
No stress have some fun, no! stress have some fun
No stress have some fun, no! stress have some fun
No stress have some fun, no! stress have some fun
No stress have some fun, no! stress have some fun
Niko stress free na mbogi ya mashuksha, sinia ina sambusa za kishelisheli, watu ni kujaza belly
Nd'o Mwaura asiitike, kamnyweso kakishika usijiaibishe
Zinaflow ka sakafu imenyeshewa, umelemewa, we si pro usijichoche utakemewa
Over there kuna wasupa wana machupa za Belaire, wa 'nyagi wako pale hao tushawazoea
Trio dogo janja, msela wa majanta, mi na masauti tunawakunywa kama fanta
Fun tuna have some, madem waje chapchap, hapa ukilegeza jo utatiliwa mataptap
No stress have some fun, no! stress have some fun
No stress have some fun, no! stress have some fun
No stress have some fun, no! stress have some fun
No stress have some fun, no! stress have some fun
Kama ni wakushikisha
Shikisha
Ni wakulewa
Lewa
Ni wakuchoma
Choma, lewa, shikisha
Written by: Masauti, Trio Mio