Music Video

Vumilia - Trio Mio ft. Shari Afrika (SMS "SKIZA 6390525" to 811 for Skiza Tune)
Watch Vumilia - Trio Mio ft. Shari Afrika  (SMS "SKIZA 6390525" to 811 for Skiza Tune) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Trio Mio
Trio Mio
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tj Mario Kassella
Tj Mario Kassella
Songwriter

Lyrics

Na, na, eeh, na, na, na, na, na, eeh, na, na, na, naa, na, na, na, naa
Vumilia, roho yangu, majaribu ni kama moto
Inayochoma, imani yangu, baba naomba, nisaidie
Trio leo mbele zako, mtaani brikicho na landlord
Leo ametutingia padlock, rent ya kama mwezi tano
Tangu ancheki kwa Mpasho na aniskie kwa radio Jambo, hacheki vile tuna struggle
"Uliomokanga kitambo"
Ninahustle, hapa jasho, kila mtu nimwone za macho
Utadhani nilishinda jackpot, wasanii ni ka kuku za Sanford
Utazungushwa pale display ndio wanununuzi wakukiche
Wakikupenda, mafutani, uwekwe chumvi wakuminye
Ulinipea kipaji, niepushe na watiaji
Nisikanganywe na ganji, kukapitia ni humbling
Mi naifanya for the family, nieke kitu mezani
Kwake chukua usukani ju bila we mi siwezani
Vumilia, roho yangu, majaribu ni kama moto
Inayochoma, imani yangu, baba naomba, nisaidie
Nabalance talanta na mbuku, inakuanga ngori nang'ang'ana
Nabambanya mkwanja ya supu, kasembe angalau tusilale njaa
Mi mbele nacheki dalili za taa, milele nakuanga naamini Sir Jah
Ni ye amenifikisha huku, ni Trio kwa mbulu wanatazama
Maisha huwanga up and down kama moodswings ama seesaw
Naja full swing kila season, n'ko kwa pulpit nina seek God
Nina seek strength ya ku sing song zitafanya mthama asare kusakanya
Nimshikie kikeja na nganya, hadi hapa ni sala za mkanya
Ulinipea kipaji, niepushe na watiaji
Nisikanganywe na ganji, kukapitia ni humbling
Mi naifanya for the family, nieke kitu mezani
God we chukua usukani ju bila we mi siwezani
Vumilia, roho yangu, majaribu ni kama moto
Inayochoma, imani yangu, baba naomba, nisaidie
Vumilia, roho yangu, majaribu ni kama moto
Written by: Tj Mario Kassella
instagramSharePathic_arrow_out