Top Songs By OCHUNGULO FAMILY
Credits
PERFORMING ARTISTS
OCHUNGULO FAMILY
Performer
COMPOSITION & LYRICS
OCHUNGULO FAMILY
Songwriter
Lyrics
Niaje baby girl watoka pande gani
Mii napenda tu izo thutha
Na staki para zako za kirejareja
Mii napenda tu izo thutha
Niaje baby girl watoka pande gani
Mii napenda tu izo thutha
Na staki para zako za kirejareja
Mii napenda tu izo thutha
Nakushiki shiki ukinilolalola mummy
Mii ndio bad man
Ukishake shake ukidondo dondo dondosa
Wewe ndio bad gal
Zikidundadunda wanakwachukwachu
Ngoma zetu ndio mudder dan
Wakibongabonga tunagongagonga adi
Uko Dar es Salaam
Atoti emachandowiya
Big big sianda wanatingisha
Wamevaa booty short wanachachisa
Ochungulo family yabadilisha
Mii ni raster man natoka southy
Mr.eight song zimewashika
Nai robbery call 911
D'more huku jiji ndio anawateka
Niaje baby girl watoka pande gani
Mii napenda tu izo thutha
Na staki para zako za kirejareja
Mii napenda tu izo thutha
Niaje baby girl watoka pande gani
Mii napenda tu izo thutha
Na staki para zako za kirejareja
Mii napenda tu izo Thutha
Nikulambe kama poro nicheze Kama goru
Nitoke mbele yako ukinicheki kwenye mbulu
Natetemesha jiji bila long'i ya faulu
Ras nipee ata kobole ninunue mabuyu
Ee na baby nina damu ya shakazulu
Nashikwa na malwethe ukitingisha kulukulu
Machali wa lalang'ata na madem wa buruburu
Wote wanataka tu kuhama kitusuru
Pilkapilka za maboy wanati Ni kuleta zogo dunda
Sa ile pilkapilka za watanashati ni kufika bei ya thutha
Ndizi inapenda thutha imevimba
Pepeta io kitu kama kimachine gun
Ntakupiga chum stone ki Batista
Dictate io haga kama hitler
Bumper yako nyuma inakaa ya bimmer
Nilidhani hata umeweka filter
Wee ni peng ting gal ka camila
Body yako ni ya range si ya filder
Siku hizi munaniita alehandro
Jamaa anapenda thutha na scandal
Light skin bbw wa ku handle
Ochungulo tuko lit kama candle
Itabidi wameanza kuwa humble
Siku hizi mazee standards zili double
Haga tunadeal nazo zina bubble
Ee kuja nikusample
Niaje baby girl watoka pande gani
Mii napenda tu izo thutha
Na staki para zako za kirejareja
Mii napenda tu izo thutha
Niaje baby girl watoka pande gani
Mii napenda tu izo thutha
Na staki para zako za kirejareja
Mii napenda tu izo Thutha
Listen 2019 ni mathuta thutha
Written by: OCHUNGULO FAMILY