Top Songs By Boutross
Credits
PERFORMING ARTISTS
Boutross
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Boutross Munene
Songwriter
Collyns Keith
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Eskimo
Producer
Lyrics
[Chorus]
Meno ni silver like wizo man
Beef kwenye table is seezling
Na deliver like the pizzaman
Loud inashika like Chivas man
Cheki Nairobi ina snow
But!
Yangu haikatwi na Ritalin
Check hiyo mbogi ina go (Go!)
Check vile mbogi ina go (Go!)
[Chorus]
Meno ni silver like wizo man
Beef kwenye table is seezling
Na deliver like the pizzaman
Loud inashika like Chivas man
Cheki Nairobi ina snow
But!
Yangu haikatwi na Ritalin
Check hiyo mbogi ina go (Go!)
Check vile mbogi ina go (Go!)
[Verse 1]
Ushai meno ina glisten
Kifua haina ma cling cling cling cling
Gelato ndio mimi na stink
Kwa hiyo amiri na jale ya mawinch wich
[Verse 2]
Hiyo uso umedunga ni vintage
Usha try kuipaka the vaseline
Hizi vibe una leta ni tricky
Nyi ndio huvuta ma nyasi kwa picnic
[Verse 3]
Hii ngoma ina essence ya wizkid
Chibalonza na gospel ya big pin
Waki ni chocha na wachukulia meeting
Na wachukulia choma na whiskey
[Verse 4]
Chinchilla imenifika hadi chin chin!
Vile snow inanipiga baridi
Kuna kitu ina shine kwa hizo teeth teeth!
Hadi nashidwa kubonga vifiti
[Chorus]
Meno ni silver like wizo man
Beef kwenye table is seezling
Na deliver like the pizzaman
Loud inashika like Chivas man
Cheki Nairobi ina snow
But!
Yangu haikatwi na Ritalin
Check hiyo mbogi ina go (Go!)
Check vile mbogi ina go (Go!)
[Chorus]
Meno ni silver like wizo man
Beef kwenye table is seezling
Na deliver like the pizzaman
Loud ina shika like Chivas man
Cheki Nairobi ina snow
But!
Yangu haikatwi na Ritalin
Check hiyo mbogi ina go (Go!)
Check vile mbogi ina go (Go!)
[Verse 5]
Ali lilianga vitamin
Saa hiyo sikuwa hata na single man
Ngori ilifuata na vita man
Juu mbogi ili swallow the Singleton
Wali nikatianga hata stima then
Fuse nikarudisha kwa meter man
Wana thani mi mjinga yea
Sherehe hiweza katika man.
Kijana amaeshikilia city
Niku choche ati mimi si ringi
Pilipili ina kuashia nini?
Vile ulikua hizo vitu vi greedy
But!
Mbeibe alitry kunishika man
Nikamwambia baby I am innocent
But vile ngeus ali ni ita tena
Nili mpiga hiyo smile ya adolescence
[Chorus]
Meno ni silver like wizo man
Beef kwenye table is seezling
Na deliver like the pizzaman
Loud inashika like Chivas man
Cheki Nairobi ina snow
But!
Yangu haikatwi na Ritalin
Check hiyo mbogi ina go (Go!)
Check vile mbogi ina go (Go!)
[Chorus]
Meno ni silver like wizo man
Beef kwenye table is seezling
Na deliver like the pizzaman
Loud ina shika like Chivas man
Cheki Nairobi ina snow
But!
Yangu haikatwi na Ritalin
Check hiyo mbogi ina go (Go!)
Check vile mbogi ina go (Go! )
Written by: Boutross Munene, Collyns Keith