Lyrics

Don't trust us kila morning joh nikiamka naakisha goodmorning Africa
Niliamka kabla jogoo haijawika, kwa ground tumeficha juu mziki inajipajipa
Skuizi look ni the real but mafans na mapicha, hadi rapper umerank anani-call anadai feature
Don't trust us us kila morning joh nikiamka naakisha goodmorning Africa
Niliamka kabla jogoo haijawika, kwa ground tumeficha juu mziki inajipajipa
Siku hizi look ni the real but mafans na mapicha, hadi rapper umerank anani-call anadai feature
Kila yout siku izi anadai keja na dinga na dem haezidinywa dinywa
Ni manzi waku-bawl ana-ride na Mariga, niliondo kwa Thiong'o akadai ninaringa
Anadai nina-shine kama bling, this time nimekam na sling
But nambli akidai smoke huku joh tunawasha ma splif mi upiga mask no nobody sees me
Sipendi usoro, sitafuti kiki, niko kajaba ndo always busy
Biz ni ya Africa you how we drilling nita-buy bima
I'm a black man winning ukini-cross siwezi go through with it
Ndo zita-land niko high kaa seling bei ni expensive kaa dollar to shillings
Wanna compare drill na zile ngoma flani si ukula gwethe we ukula majani na mabro aeziniacha rahani
Hauezibadilika juu ya ganji na manzi
Wanna compare drill na zile ngoma flani si ukula gwethe we ukula majani na mabro aeziniacha rahani
Hauezibadilika juu ya ganji na manzi
4:20 am nilidungiwa na Glenn akaniambia mali imefika
Wake up, wake up nastretch mkono nikitafuta ka pyenga
Naeka beat ya Africa kuonyesha hawa madrilla vile ni wa less kaa Wanyika
Tepwa tekwa uncle Trench anaezafanya ulale kwa sewer, Eastleigh ukikam vibaya joh utaingiwa tisa
Si believe gava inamada ma youths na ndio future, hatuskii haya so opportunity ikikam tunai-grab kwa makucha
Adijah Palmer amefanya mayut Gaza wanajiona ma-teacher, dungwa tenje, si tulikuonya joh toka tene
Nakuachia dent big sana kushinda ule empress wako wa Vet
Mdila anataka kuongeza rent, naona mi na maboiz tutaenda ku-camp kwa tent
Tunazi-set ku-set after all si unajua there's nothing at stake
Line si refu ka player wa NBA, nafanya hadi madrilla watoke kwa rem
Mwanadrilla siku-come games in fact uliniona try ku-behave, ma dealer so unachia Sensei nikifika hali hukua quest
Namba nane kama Senseit ee mbaka Eastland wameni-rate
Don't trust us kila morning joh nikiamka naakisha goodmorning Africa
Niliamka kabla jogoo haijawika, kwa ground tumeficha juu mziki inajipajipa
Skuizi look ni the real but mafans na mapicha, hadi rapper umerank anani-call anadai feature
Don't trust us us kila morning joh nikiamka naakisha goodmorning Africa
Niliamka kabla jogoo haijawika, kwa ground tumeficha juu mziki inajipajipa
Siku hizi look ni the real but mafans na mapicha, hadi rapper umerank anani-call anadai feature
Written by: Jayson Okanda, Sewer Sydaa
instagramSharePathic_arrow_out