Lyrics

Ninayo sababu ya kusimama Mbele za watu (kwa ujasiri) Mmh Niziseme Shuhuda zako BWANA wangu Jinsi (we ulivyo nisitiri) Nakama ungeniacha, mi nisingeweza Ningeli angamia, angamia Kwa neema yako, nimeweza Maana umenisimamia Simamia, ah-ah-ah-ah Najitabiria, mabaya yote, hayana nafasi Kwa jina la YESU ninakiri kupokea ushindi Umo uwezo kinywani mwangu (Amen) Nikitamka (Amen) Inatimia (Amen) Sawa sawa na kusudi lako Atakama sioni dalili (Amen) Nina imani nawe (Amen) Utafanya YESU (ooh-uoo) Ooh Kama ni Mali, Fedha na Dhahabu mimi (nitavipata tu) Ambavyo wazazi wangu, hawakuvipata (nitavipata tu) Kuongezeka imani, niyashinde majaribu (nitafanikiwa) Kuishi Utakatifu, niione MBINGU (nitafanikiwa) Najua, hali ngumu, zinakikomo, si zakudumu Ila, Neno la MUNGU na mipango yake Inadumu milelee Najitabiria, mabaya yote hayana nafasi Kwa jina la YESU ninakiri kupokea ushindi Umo uwezo kinywani mwangu (Amen) Nikitamka (Amen) Inatimia (Amen) Sawa sawa na kusudi lako Atakama sioni dalili (Amen) Nina imani nawe (Amen) Utafanya YESU (Ooh-uoo) Ooh Atakama sioni dalili (Amen) Nina imani nawe (Amen) Utafanya YESU (Amen) Ooh-uoo
Writer(s): Mathias Walichupa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out