Music Video

Harmonize - Atarudi (Official Music Video)
Watch Harmonize - Atarudi (Official Music Video) on YouTube

Credits

PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rajabu Abdukahal Ibrahim
Rajabu Abdukahal Ibrahim
Songwriter

Lyrics

Mmmmh... Na yeye ni mwanadamu dunia tunapita Aaaah Kama kupata kwa zamu (Oooh Zamu) Yangu Itafika. Siwezi Kaa na Damu kesho wataja nizika ila Ningependa uFahamu Haya Mateso ulonipa.Mmmh Tena Mwambieni Aloninyima mimi ndo Kampa Yeye Eeeeh. Kupata Foleni Nasubiri Yangu mimi Ataichelewe eeeh... Sina Furaha Naigiza ilimradi Watoto wasijihisi Vibaya. Aaaah Huyu Mdogo Anauliza eti daddy mama ameihama Kaya???? Chakujibu Sina Nabaki Tu kusema Aatarudi (Atarudi Mama)| Atarudi (Anawapenda Sana). | ×2 Aatarudi (Atawaletea zawadi) Atarudi | Siwezi Sema Sijui Tatizo Hali yangu Duni imefanya ukanikimbia... Ni vyema Ungefanya maigizo. Mara kumi Usingenizalia Ingali Mapenzi Pekee ningesema Nichangamoto Nijifunze Ameniacha Mpwekeee Na watoto Niwatunze. Eee eh Ila siwezi Mlaumu... Huenda Yupo Sawa. Aaaah Kipato Changu Kigumu Kutwa bumunda na Kahawa... Ila mwambieni alieninyima Mimi Ndo kampa Yeye... Eee eh Kupata Foreni Nasubiri Yangu Mimi itaichelewe Eee eh Oooohhh Sina Furaha Naigiza ilimradi Watoto wasijihisi Vibaya. Huyu Mdogo Anauliza eti daddy mama ameihama Kaya???? Chakujibu Sina Nabaki Tu kusema Aatarudi (Atarudi Mama)| Atarudi (Anawapenda Sana). | ×2 Aatarudi (Atawaletea zawadi) Atarudi Ohhhh My God Its Person...
Writer(s): John None Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out