Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Charisma
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Eugine Ywaya
Songwriter
Fidel Shammah
Songwriter
Michael Wamalwa
Composer
So Fresh
Composer
ZAWADI KIHARA
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
So Fresh
Producer
Lyrics
Kanairo mapenzi haitakangi wanyonge
Ni kuchezana na kuambiana pole
Ni kama tuko uasherati sisi sote
Heri mimi nawekeleanga pombe
Wale wabaya ni wenye pete kwa vidole
Wale wabaye ni wenye wanakaa wapole
Let me know
Kama ni ngumu basi let me go
Kila mtu anasema love is a scam
State of emergency everybody run
Kila saa nikiwanga nawe you’re the one
Lakini tukiwachana we belong to everyone
I’m a liar, she’s a liar, sisi wote ni maliar woyo woyo
Anagawa me nagawa, sisi wote ni wabaya, mayo mayo
Kwa local
Zikishika napenda kutupa lugha
Kulia na kushoto cheza na huyo dame gushodo
Mkanganyo wa rosecoco, pojo na embedodo
baby a gal toto mastingo ni moto moto
Tuko kanairo
Usicheze na madame, watakupakata pakata na wakutoke maweng’
Tuko kanairo
Utakuliwa mresh, utadhani ni adui kumbe ata ni so fresh
Kila mtu anasema love is a scam
State of emergency everybody run
Kila saa nikiwanga nawe you’re the one
Lakini tukiwachana we belong to everyone
I’m a liar, she’s a liar, sisi wote ni maliar woyo woyo
Anagawa me nagawa, sisi wote ni wabaya, mayo mayo
Written by: Eugine Ywaya, Fidel Shammah, Michael Wamalwa, So Fresh, ZAWADI KIHARA