Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Charisma
Charisma
Performer
COMPOSITION & LYRICS
David Omondi
David Omondi
Composer
Fidel Shammah
Fidel Shammah
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
David Omondi
David Omondi
Producer
Fidel Shammah
Fidel Shammah
Producer

Lyrics

I feel high, when I think of you and I, when I look into your eyes, girl you make me feel alright
And I feel low, nikikucheki na maboy, team mafisi out and going, nahisi siko in control
Na niko ndani ya mawazo, na ni wewe mimi ninatilia mkazo
Ilhali wewe wanifanyisha mi mambo na mchezo wako wa kanambo
Na niko ndani ya mawazo, na ni wewe ninatilia mkazo
Ilhali wewe wanifanyisha mi mambo na mchezo wako wa kanambo (Mi nataka we)
Unikumbatie, nikukumbatie, make it hard for you to see me with another girl
Unikumbatie, nikukumbatie yeaah, yeah-yeah

Baby, kama mbere naiwe, you love me so differently
But lately, waniumize we, just constantly hurting me
Mmhh, my feelings are strong, hisia za kwako
Kama mi si wako, basi huna wa kwako
Na niko ndani ya mawazo, na ni wewe ninatilia mkazo
Ilhali wewe wanifanyisha mi mambo na mchezo wako wa kanambo
Na niko ndani ya mawazo, na ni wewe ninatilia mkazo
Ilhali wewe wanifanyisha mi mambo na mchezo wako wa kanambo (Mi nataka we)
Unikumbatie, nikukumbatie, make it hard for you to see me with another girl
Unikumbatie, nikukumbatie yeaah, yeah-yeah
Unikumbatie, nikukumbatie, make it hard for you to see me with another girl
Unikumbatie, nikukumbatie yeaah, yeah-yeah
Mi nataka we
Unikumbatie, nikukumbatie, make it hard for you to see me with another girl
Unikumbatie, nikukumbatie yeaah, yeah-yeah
Unikumbatie, nikukumbatie, make it hard for you to see me with another girl
Unikumbatie, nikukumbatie yeaah, yeah-yeah
Na niko ndani ya mawazo, na ni wewe mimi ninatilia mkazo
Ilhali wewe wanifanyisha mi mambo na mchezo wako wa kanambo
Na niko ndani ya mawazo, na ni wewe mimi ninatilia mkazo
Ilhali wewe wanifanyisha mi mambo na mchezo wako wa kanambo
Written by: David Omondi, Fidel Shammah
instagramSharePathic_arrow_out