Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
DNasse
Playback Singer
Dnasseh Tz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Dnasseh Tz
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
DNasse
Producer
Lyrics
ahaa ahaa haaa
Kwanza Nawapa Tano Wanangu Wote Wakitaa.
Yaendelee Mapamba Tujitafute Tutatoboa.
Hakuna Aliezaliwa Nacho Tukitafuta tutapata.
Mdogo mdogo tulichonacho tukikichanga kitajaza
Shida Ya Mwanadamu Si Ni pesa
Tuzitafute Hata Kwa Kukesha Chunga Sana Zisije Kukupa Presha
Ukaja Acha wengine Wanatesa
Aijali Masikini Raha Yetu Kubwa Kupambana.
Tutatoboa
(Aahaa)
Wanangu Tutatoboa (haaa) Tukazee.
Hakuna Mwanadam Wakumshinda Mungu Kamwe.
Ukioneshs Bidii Hee heee.
Nando Maana Niikipata kwaniDunia Tunapita .
Hata Ukipata Kweli dunia Tunapiata .
Shida Ya Mwanadamu Si Ni pesa
Tuzitafute Hata Kwa Kukesha Chunga Sana Zisije Kukupa Presha
Ukaja Acha wengine Wanatesa
Aijali Masikini Raha Yetu Kubwa Kupambana.
Tutatoboa
(Aahaa)
Wanangu Tutatoboa (haaa) Tukazee.
Ahaa wanangu
Na boda wanangu Aahaaa Wanangu Tz Wanangu
Kenya Wanangu..
Written by: Dnasseh Tz