Music Video

Steph Kapela - NI WEWE feat DELA (Visualizer)
Watch Steph Kapela - NI WEWE feat DELA (Visualizer) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Steph Kapela
Steph Kapela
Performer
Dela
Dela
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Steph Kapela
Steph Kapela
Songwriter
Dela
Dela
Songwriter
Benjamin Oteko
Benjamin Oteko
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Benjamin Oteko
Benjamin Oteko
Producer

Lyrics

Verse 1.
Tangu kitambo, tukiwa campo,
Tangu ni sample, nasema bado,
Sijatosheka, sijatosheka,
funga virago, kwangu ni kwako,
Tumwone babako, tupange ruracio,
sitakuweka, sitakuweka.
Bridge
Ju nimependwa nimependana,
Lakini sijapendwa vile tunapendana,
Tumekubaliana hatutakosana,
Na tumeagana,
 mbele yake Hosana x2
Hook
Niwewe, (nimewe) x2
Niwewe niwewe niwewe
Na sitatosheka, sitatosheka x2
Chorus
Ni wewe x4 sitatosheka..
Verse 2
Why me? Baby tell why me?
I was,
so lost baby how’d find me? Yea
Why me? Baby tell me why me?
Was it?
timing we’re the stars aligning baby,
Nilizunguka soko nilikosa,
Nilizunguka soko nikachoka,
Then you came my way,
made my change my ways,
kwako sitatoka.
Bridge
Ju Nimependwa nimependana
Lakini sijapendwa vile tunapendana
Tumekubaliana hatutakosana,
Na tumeagana mbele yake Hosana x2
Hook
Niwewe, (nimewe) x2
Niwewe niwewe niwewe
Na sitatosheka, sitatosheka x2
Bridge 2 + Hook
And I can never get enough,
Your love is like the sweetest drug
Sitatosheka.
Written by: Benjamin Oteko, Dela, Steph Kapela
instagramSharePathic_arrow_out