Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mordecai Dex
Mordecai Dex
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hendrick Sam
Hendrick Sam
Composer
Mordecai Mwini
Mordecai Mwini
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mordecai Dex
Mordecai Dex
Producer

Lyrics

Yote unayotenda na yote unayoniwazia ni mema
Huzuni sitaona kwani mi ninakutarajia kwa wakati wako
Ninakoenda naomba unionyeshe njia nipenye
We nd\'o mshindi nd\'o maana ninakutegemea
Wengine ni vako
Ushaasema ahadi zako ni za milele
Nikikwama suluhisho langu ni wewe
Ni kwa neema sio kwa nguvu zangu mwenyewe
Wanipenda hivyo kwa nini nisiseme
Umenyunyuza baraka kwa wingi
Kutoka mbinguni hakuna wa kuzuia
Na umenifanya kamili
Rohoni na mwili nini nitakupatia
Nipe moyo safi niwe mfuasi
Nipunguze kasi nijue kungoja wako wakati
Yote unayotenda na yote unayoniwazia ni mema
Huzuni sitaona kwani mi ninakutarajia
Kwa wakati wako
Ninakoenda naomba unionyeshe njia nipenye
We nd\'o mshindi nd\'o maana ninakutegemea
Wengine ni vako
Hata wakipanga njama
Wanilinda Maulana
Nikizama kwenye noma
Sitakosa msaada
Ulibeba msalaba
Nd\'o nipate msamaha
Na kwa yote ninasema
Asante kwa kunipenda
Umenyunyuza baraka kwa wingi
Kutoka mbinguni hakuna wa kuzuia
Na umenifanya kamili
Rohoni na mwili nini nitakupatia
Nipe moyo safi niwe mfuasi
Nipunguze kasi nijue kungoja wako wakati
Yote unayotenda na yote unayoniwazia ni mema
Huzuni sitaona kwani mi ninakutarajia kwa wakati wako
Ninakoenda naomba unionyeshe njia nipenye
We nd\'o mshindi nd\'o maana ninakutegemea
Wengine ni vako
Yote unayotenda na yote unayoniwazia ni mema
Huzuni sitaona kwani mi ninakutarajia kwa wakati wako
Ninakoenda naomba unionyeshe njia nipenye
We nd\'o mshindi nd\'o maana ninakutegemea
Wengine ni vako
Wengine ni vako
Yote unayotenda na yote unayoniwazia ni mema
Huzuni sitaona kwani mi ninakutarajia kwa wakati wako
Ninakoenda naomba unionyeshe njia nipenye
We nd\'o mshindi nd\'o maana ninakutegemea
Wengine ni vako
Written by: Hendrick Sam, Mordecai Mwini
instagramSharePathic_arrow_out