Top Songs By Fidel Rayd
Credits
PERFORMING ARTISTS
Fidel Rayd
Performer
COMPOSITION & LYRICS
FIDEL OSANO
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Eyoh Clamer
Producer
Lyrics
Allergic to people
Place me ushinda ni status reels na tiktok
So I'm sorry but, me sdai ku link op
Sidai beste ama bae sdai ku mingle
No offence niko better off single
(better off)
Coz I'm Allargic to people
Binadamu unipatianga icks
Alargic to people
Niko sawa myself I and me
I'm Allargic to people
Binadamu unipatianga icks
Allargic to people
Niko sawa myself I and me
Mali wase ni wengi apo me
Si patikanangi
Ni bahati mbaya ama labda tu
Kama niko maji
Me uwaona majini inabaki nime jificha
Ka niko ndani na baki ndani
Unless ka ni biz
Naeza buy time adi io doo ifike kwa till
After ku confirm imefika naji delete
Sikaangi place sana ju wanaeza ni paka shit
Na waniambukize upuzi, huh...
Ni ati sazingine me ukuanga mshy
Sijipotezangi kwa ubaya
Pia wasee ma saa ingine aunikill jo vibe
Kuji pata kati kati yao jo ni blander
Coz I'm Allargic to people
Binadamu unipatianga icks
Alargic to people
Niko sawa myself I and me
I'm Allargic to people
Binadamu unipatianga icks
Alargic to people
Niko sawa myself I and me
(Walai cheki)
I'm allergic to people
Social battery iko E
Unaeza keep off
I get the icks
Adi na pata ma pimples
Wakona mapepo
Zina nipeanga symptoms
Indoors
na mpoa keep it simple
Ana mumunya shlong
Unaeza dhani ni pinpop
After mechi kila mtu ni individual
Post-nut clarity ina ni onyeshanga ivyo
Gatherings na vikao si patikani
Uni pati bez heri ni chane maskani
Allergy ya watu inani shukisha majani
Gwethe yangu fisa zina shika nikiwa ndani, ndani
Coz I'm Allargic to people
Binadamu unipatianga icks
Allargic to people
Niko sawa myself I and me
(Niko sawa myself I and me)
(Huh, introvert by nature)
(Savage ju ya vile binadamu ameni)
Cautiously ndio na move lately
Once beaten twice shy
Niko too skeptic
Kama au dot kila I
Ama au cross kila t
Atuezi mingle nanii
Apo ndio me hu grey tick
Yeah, Introvert by nature
Savage ju ya vile bina damu ameni cheza
Mbona ni pretend,
I wish u bad in your endeavour
Sioni niki change
Ndaku chukia forever and ever
Middle finger ju ya hewa
F' anyone alive mwenye ashai ni kera
Heri ukae solo kama audai kuji mess
So ni, me mimi na bosco no friends
Yeah, ju watu ni wa funny
Wata travel miles kuku zika
Lakini akuna ata mmoja
Atakuja kuku saidia ukiwa uhai
Ku keep peace na keep distance
Yani adi nimeeka sign ya keep if kwa Tshirt
Ju me binadamu huni piss of kabisa
Circle yangu ndogo na akuna vile ita adisika
Epi pen kwa mkono kila time nikona meet Up
Ju am allergic to people
Binadamu unipatianga
Yeah allergic to people
Niko sawa my self I and me
Yeah am allergic to people
Binadamu unipatianga
Yeah allergic to people
Niko sawa my self I and me
Written by: FIDEL OSANO