Credits

PERFORMING ARTISTS
Fidel Rayd
Fidel Rayd
Performer
FIDEL OSANO
FIDEL OSANO
Vocals
Harry Otieno
Harry Otieno
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
FIDEL OSANO
FIDEL OSANO
Songwriter
Harry Otieno
Harry Otieno
Songwriter

Lyrics

Me ata sikujui na una sema ati auni pendi
My friend io si chuki io ni envy
Jealousy ni disease
Inaeza ku maliza nani
Enda upigwe syringe
Before ufike 6 feet
Kwa akili zao na shinda kama psychic
Walidhani nda anguka
Ju walisema they don't like me
So silly,
Awakujua nina Almighty, na cheki waki chunguza
Acha niwa onyeshe how my life is
Life ni tiffin, siri
Ni kuji tuma kiasi na baraka ya almighty
Life ni tiffin, siri
Ni kuji tuma kiasi na baraka ya almighty
Ni mambo ya God, Mambo ya God
Si ya illuminati juju ama wash
Ni mambo ya nani ? Mambo ya God
Ka si wewe yahwe singewai fanya mziki
Ka si wewe yahwe singewai pata riziki
Ka si wewe yahwe life ingekuanga tricky
Ime jawa na madhiki sauti yangu ai skiki
Me na give thanks sai na somwa kwa gazeti
Nakupa shukrani na onekana tu kwa telly
Na siezi shukishiwa ata na ma shemeji
Ume nipa ma blessing kuni jalia ma favor
Na ata ka sija okoka,
me najua God aezi kuni toka
Atani linda, from izi nyoka
Niki piga sala najua nda omoka
Life ni tiffin, siri
Ni kuji tuma kiasi na baraka ya almighty
Life ni tiffin, siri
Ni kuji tuma kiasi na baraka ya almighty
Ni mambo ya God, Mambo ya God
Si ya illuminati juju ama wash
Ni mambo ya nani ? Mambo ya God
Na fwata na baraka ya almighty
Nilianza life na ku tembeza kaimati
Kidogo kidogo chai na chapati
Nika uza mtura na sambisa ya samaki
Sai nime omoka maisha yangu safari
Na God ndio dere na bado naenda mbali
Si dumba si juju si uchawi tafadhali
Ni mambo ya God tamu sana kama asali
Kwa akili zao na shinda kama psychic
Walidhani nda anguka
Ju walisema they don't like me
So silly,
Awakujua nina Almighty, na cheki waki chunguza
Acha niwa onyeshe how my life is
Life ni tiffin, siri
Ni kuji tuma kiasi na baraka ya almighty
Life ni tiffin, siri
Ni kuji tuma kiasi na baraka ya almighty
Ni mambo ya God, Mambo ya God
Si ya illuminati juju ama wash
Ni mambo ya nani ? Mambo ya God
Written by: FIDEL OSANO, Harry Otieno
instagramSharePathic_arrow_out