Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Octopizzo
Octopizzo
Songwriter
Keith Waz
Keith Waz
Songwriter

Lyrics

Barua yako
Nimekwisha ipata cherie
Pizzo de
8town
Welcome to the future baby
Nane ngori nane ngori
Nane ngori sana
Rap rhumba na chakacha
We mtume vua chains kwanza
Mi mtume wa hii culture
Kauli kwamba
Wee mtumba ulishachapa
Allah salala u wasala
Sala ndio kwanza kabla swala
Dali lama stanzas
Keti chini kwanza
Huezani na hizi standards
Kimya nikibanja
Sauti ni kipaza
Ni ohanga toka nyanza
Tushafika mwanza
Nyerere nataja
Arusha sita saba
Rada chafu banaa
Sina shamba london
Mkoloni atahama
Pweza nikizama
Pull up
Pull in the spot spot
All the bunnies hop hop
Namba nane top notch
Ei dropping rivals on arrival
Ei ka umeokoka beba bible
Ei mi hushoot bila tripod
Rap god mi sijali nyi disciples
Rap rhumba na chakacha
We mtume vua chains kwanza
Mi mtume wa hii culture
Kauli kwamba
We mtumba ulishachapa
Rap rhumba na chakacha
We mtume vua chains kwanza
Mi mtume wa hii culture
Kauli kwamba
Wee mtumba ulishachapa
Gravity don hauezi resist
Mbona napenda walami
Ju mi si racist
Napenda ladies though
Basi twende disco
Alafu ni chipo
Rada na the beast
Lucifer am lit
Papi on this shit
Da coochie i eat
Mama on my sleeves
Papa on the street
I am a big deal
And my feet big
You know what that mean
Motherland
Unabonga na aboriginal
Really though am meek
Like a Philly flow
Religion pop jp injili mode
Really dope they praise me
I am really god
Mcee when i roc
With my js on
Empire state I am really hov
I create men like the gods do
Look at my son
Peace love but I'm strapped too
I got a gun
Rap rhumba na chakacha
We mtume vua chains kwanza
Mi mtume wa hii culture
Kauli kwamba
Wee mtumba ulishachapa
Rap rhumba na chakacha
We mtume vua chains kwanza
Mi mtume wa hii culture
Kauli kwamba
Wee mtumba ulishachapa
8Town, ye bana jo
Uko thirsty nina maji jo
Napenda manzi hana maringo
Mary jane tulimarry ngong
Shout out
To the first lady wa papi don
The messenger
Rada na the messenger
The messenger
Buda rada na the messenger
Mi mtume
Written by: Henry Ohanga, Keith Waz
instagramSharePathic_arrow_out