album cover
Anauliza
16
Christian & Gospel
Anauliza was released on April 25, 2024 by Joshua Assey as a part of the album God Is Good - EP
album cover
Release DateApril 25, 2024
LabelJoshua Assey
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM100

Credits

PERFORMING ARTISTS
Joshua john asey
Joshua john asey
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joshua john asey
Joshua john asey
Songwriter

Lyrics

MUNGU anauliza wako wapi wanaoomba
MUNGU anauliza wako wapi wanaoomba
Anataka kujibu maombi,
wako wapi wanaoomba,
Anataka kujibu maombi,
wako wapi wanaoomba,
MUNGU anauliza wako wapi wanaoomba
MUNGU anauliza wako wapi wanaoomba
Anataka kujibu maombi,
wako wapi wanaoomba,
Anataka kujibu maombi,
wako wapi wanaoomba
Kuna Mambo ili yafunguke,
Yahitaji kupiga magoti,
Kuna Mambo ili yafunguke
yahitaji kutoa machozi,
Wako wapi wanaomlilia Bwana
wako wapi wanaomtafuta
wako wapi wanaomwomba
wako wapi wanaomtafuta
wako wapi wanawake,
waliliao nyumba zao,
wako wapi wanawake,
waliombeao kanisa
Anataka kujibu maombi,
wako wapi wanaoomba,
wako wapi vijana, waombeao hatima zao
wako wapi vijana, waombeao mahusiano Yao
Anataka kubariki vijana,
wako wapi wanaoomba
anataka kubariki vijana
wako wapi wanaoomba
Mungu anauliza wako wapi wazalendo
Mungu anauliza wako wapi wazalendo
Waombee taifa lao,
waombee Raisi wao,
wako wapi wazalendo,
Anataka kubariki taifa,
wako wapi wanaoomba,
Anataka kujibu maombi,
wako wapi wanaoomba,
Written by: Joshua john asey
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...