album cover
Tajiri
39
Christian & Gospel
Tajiri was released on February 29, 2024 by Love Music Brand as a part of the album Tajiri - Single
album cover
Release DateFebruary 29, 2024
LabelLove Music Brand
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM99

Credits

PERFORMING ARTISTS
Joshua Assey
Joshua Assey
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joshua Assey
Joshua Assey
Songwriter

Lyrics

Ukisikia habari
Kwamba kuna mtu fulani tajiri
huyo ndo mimi
ukisikia habari
Kwamba kuna mtu fulani ana hela
huyo ndo mimi
Kama MUNGU wangu tajiri
sa kwanini me nisiwe tajiri
me ni tajiri
kama MUNGU wangu anahela
Sa kwanini me nisiwe na hela
me ni tajiri
eeh eeh eeh
Ukisikia habari
Kwamba kuna mtu fulani tajiri
huyo ndo mimi
ukisikia habari
Kwamba kuna mtu fulani ana hela
huyo ndo mimi
Kama MUNGU wangu tajiri
sa kwanini me nisiwe tajiri
me ni tajiri
kama MUNGU wangu anahela
Sa kwanini me nisiwe na hela
me ni tajiri
eeh eeh eeh
kwa jina la YESU
nakataa kuwa chini
nakataa umasikini
Kwa jina la YESU
mimi ni wa juu sana
Nitafanikiwa sana
Kwa jina la YESU
nyota yangu itang\'ara
nitafanikiwa sana
kwa jina la YESU
eeh eeh eeh
Ukisikia habari
Kwamba kuna mtu fulani tajiri
huyo ndo mimi
ukisikia habari
Kwamba kuna mtu fulani ana hela
huyo ndo mimi
Kama MUNGU wangu tajiri
sa kwanini me nisiwe tajiri
me ni tajiri
kama MUNGU wangu anahela
Sa kwanini me nisiwe na hela
me ni tajiri
Written by: Joshua Assey
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...