album cover
Wanaulizana
1,068
Pop
Wanaulizana was released on February 22, 2024 by DIRECTOR SAM as a part of the album Wanaulizana - Single
album cover
Release DateFebruary 22, 2024
LabelDIRECTOR SAM
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM89

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
DreyGon
DreyGon
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Juma Athuman Mukamba
Juma Athuman Mukamba
Songwriter

Lyrics

Aaaaaaaahhhh!! Eeeeee yeye!!
Call me DREYGON!!
Uuuu!!! Uuuuu!! Uuuuuuu!!!
Kuna muda sita ukigeuza inakuwa Tisa,
Yani namaanisha watu hubadilika,
Ila umejishika haujatikisika
Pesa wanakupa na hujadanganika,
Ila si rahisi kufika hapa mpenzi
Kama si MUNGU juu,
Tungeachana....
Ila si rahisi kufika hapa mpenzi,
Kama si maombi,
Tungemwagana onaa...
Mpaka wanga wetu, wanaulizana,...
\'\'Yametaradadi\'\'
Mapenzi yetu.
Ona walekule wanaulizana,,
\"Yametaradadi\'\'
Mapenzi yetu..
Uuuuu!!! Uuuuuu!! Uuuuu!!!
Vs2:
Katoto Kama cake ladha yake..
Hata mseme sitoki huba lake,,
Na kalivyo katam nakapa daresalaam..
Pelekeni salaam!..
Au baby nikupe Nairobi,,
Ama Kampala nikununulie vogue...
Japo wanasemaa,.!!
Ila si rahisi kufika hapa mpenzi..
Kama si Mungu juu tungeachana..
Ila si rahisi kufika hapa mpenzi.
Kama si maombi tungemwagana onaa!!!
Mpaka wanga wetu,,wanaulizana...
\"Yametaradadi\'\' mapenzi yetu
Ona walekule wanaulizana...
\"Yametaradadi\'\'
Mapenzi yetu!!!
Written by: Juma Athuman Mukamba
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...