Top Songs By Savara
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Savara
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Delvin Savara Mudigi
Composer
Moses Otieno Kajwang
Composer
Churchill Mandela Oganga
Composer
David John Munga
Composer
Salim Ali Tangut
Composer
Victor Amani
Composer
Lyrics
[Intro]
I'm loving how I'm feeling, zinanibastia
I'm loving how I'm feeling eehh
I'm loving how I'm feeling, zinanibastia
I'm loving how I'm feeling eehh
I'm loving how I'm feeling, zinanibastia
I'm loving how I'm feeling
[PreChorus]
On to the next,
Unanicross me now gone to your ex
Wanatulock kumbe sisi ndio gates
Mi si mgonjwa, ma macho ziko red
[Chorus]
Ah, Entebbe (Parapanda)
They wanna know me calling on my celi (Parapanda)
Coz I'm the new age makaveli (Parapanda)
Mkalimani, mkadinali savage levelling
Yani ule mkali yani (Parapanda)
[Chorus]
Ee eh (Parapanda)
Ee (Parapanda)
Mkalimani, mkadinali, savage levelling
Yani ule mkali yani (Parapanda)
[Verse 1]
Deni ya mine siezi sare,
Nilishika plate ya difu before imwagike
Sema furaha, sema furaha
Sema furaha, sema furaha
[Verse 2]
Big up Jesus, big up wudzu
Big up Mungu, big up Munga
[Chorus]
Huh, dara dara, rada rada (Parapanda)
They wanna know me calling on my celi (Parapanda)
Coz I'm the new age makaveli (Parapanda)
Mkalimani, mkadinali, Savage Levelling
Yani ule mkali yani (Parapanda)
Ee eh (Parapanda)
Ee (Parapanda)
Mkalimani, mkadinali, savage levelling
Yani ule mkali yani (Parapanda)
[Verse 3]
Ka huna backup, go bankrupt
Rudi Ghetto na prado, kosa car park
Mi ndio Cartman wa south park, eh
Naishi na f**k ups
[Verse 4]
Sai tenga haina hadi purchasing power
Maji ikienda hairudingi na reverse
Negotiation mbaya ni ya mwizi ukidai hauna
Malaya akitry kurausha ni ya mwizi ukidai hauna
[Verse 5]
Na ameshuka matuta
Nampa tu, si unajua kila mtu amekuja hapa kutafuta
Anyway, mezea tembe kinembe
Pesa yangu hakuna vile naweza tupa, yea
[Verse 6]
Wakisha kunywa make sure hiyo mzinga umevunja, umevunj (Parapanda)
They wanna know me calling on my celi (Parapanda)
Coz I'm the new age makaveli (Parapanda)
Mkalimani, mkadinali, savage levelling
Yani ule mkali yani (Parapanda)
Ee eh (Parapanda)
Ee (Parapanda)
Mkalimani, mkadinali, savage levelling
Yani ule mkali yani (Parapanda)
[Verse 7]
You follow, I'm not a follower
Wana usoro, kutry kuchunguza
I have a girl called Wambo, she's a swallower
Whenever she swallow my kids, take her Sarova
[Verse 8]
Safi tibim, haturushi kidi
Moshi kwa cabin, mada zigi
Bro amepause joh, wacha dibi
Hapa ni bidii, hatutaki CV
Ikibamba sana toa CD
Utabebwa juu juu, rudi chini
Ki-Mungu Mungu tulienda na ligi
Ni parapanda joh, nikiwa mjini
[PreChorus]
On to the next, unanicross me now gone to your ex
Wanatulock kumbe sisi ndio gates
Mi si mgonjwa, na macho ziko red
[Chorus]
Ah, Entebe (Parapanda)
They wanna know me calling on my celi, (Parapanda)
Coz I'm the new age makaveli (Parapanda)
Mkalimani, mkadinali, savage levelling
Yani ule mkali yani (Parapanda)
Ee eh (Parapanda)
Ee (Parapanda)
Mkalimani, mkadinali, savage levelling
Yani ule mkali yani (Parapanda)
Written by: Churchill Mandela Oganga, David John Munga, Delvin Savara Mudigi, Moses Otieno Kajwang, Salim Ali Tangut, Victor Amani