Music Video

JuaCali - Paradise Ft. Kelechi (Official Audio)
Watch JuaCali - Paradise Ft. Kelechi (Official Audio) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jua Cali
Jua Cali
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Paul Nunda
Paul Nunda
Composer

Lyrics

[Verse 1]
Funga virago zote tunaenda
Place fiti najua utapenda
Flight ya leo ni saa sita
Kufika huko ni ka saa tisa
Karibishwa na local dancers
Usiogope wa join faster
Katika na kila mtu chakacha
Chini kwa chini vile wanataka
[Verse 2]
Tunapigishwa tour ya kila room
Candle-lit dinner ni very soon
Giza ndio hio inaingia
Hii si dream unaniaminia
[Chorus]
Para paradise nimeacha stress nyumbani
Nafurahi I feel good
Niko Para paradise nimeacha stress nyumbani
Nafurahi I feel good
[Verse 3]
Asubuhi yake breakfast in bed
Hii ndio chance fiti tumepata ya ku rest
Hustle ya Nairobi tumesahau
Shida zote za huko tumesahau
Program ya leo inasema aje
Tunaenda kuona wanyama ama inakua aje
Air baloon sai iko sawa
Uko juu tukichukua picha za power
Tunashuka kwa kichaka tunapiga lunch
Ama ukitaka unaeza iita brunch
Menu ya leo ni Shrimp ya sinia
Hii si dream unaniaminia
[Chorus]
Para paradise nimeacha stress nyumbani
Nafurahi I feel good
Niko Para paradise nimeacha stress nyumbani
Nafurahi I feel good
[Verse 4]
Relax pewa massage mwili mzima
We uko juu ya wine me niko juu ya mzinga
Joto imezidi tuende swimming
Baadaye tuna fly sky diving
Tunashuka moon ikitokea
Tunacheki sunset jua ikipotea
Giza ndio hio inaingia
Hii si dream unaniaminia
[Chorus]
Para paradise nimeacha stress nyumbani
Nafurahi I feel good
Niko Para paradise nimeacha stress nyumbani
Nafurahi I feel good
[Refrain]
Leo nakata maji
Leo nakata maji
Leo nakata maji
Leo nakata maji
Leo nakata maji
Leo nakata maji
Written by: Paul Nunda
instagramSharePathic_arrow_out