Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Motra The Future
Motra The Future
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Goodluck Ulomi
Goodluck Ulomi
Songwriter

Lyrics

Are you Happy ... ? ( Ooouuu yeeeh )
Are You Happy Now ??? ( Baba Ako )
Are you Happy ... ? ( Pon De Tiing )
Are You Happy Now ???
Crush uliyemtaka umempata
ndoa umeisaka umeipata
Are You Happy ??
shule umeenda ume suffer
kazi uliyosomea umeipata
Are You Happy Now ??
 
Je unafuraha , Ama ni Karaha ???
Are You Happy ??
Je unafuraha , Ama ni Karaha ???
Are you Happy Now ??
Uliloga ili ufanikiwe , leo umefanikiwa kwa Nguvu za giza
Are You Happy ??
uliiba kwa nguvu ukauwa , vipi leo msibani ukikatiza
Are You Happy Now ??
kila nikienda nikirudi nakukuta uko high na watu and you party
ila ni kwa beer za kupewa , ndo maana najiuliza kichwani
Are You Happy ???
 
Je unafuraha , Ama ni Karaha ??? Are you Happy ?
Je unafuraha , Ama ni Karaha ??? Are You Happy Now???
Crush uliyemtaka umempata
ndoa umeisaka umeipata
Are You Happy ??
shule umeenda ume suffer
kazi uliyosomea umeipata
Are You Happy Now ??
mke wako alizingua badala myajenge ukatafuta mchepuko
Are You Happy ??
Ndio maisha yalizingua na wewe ndo ukachagua kuishi vile venye uko
Are You Happy Now ??
miaka mingi unahangaikia ujuzi , ila nakuuliza tokea juzi
Are You Happy ??
Najua hakuna anayetaka ku loose
ila kwa desicion Uliyochoose
Are You Happy Now ??
washkaji zako uliwathamini sana , leo unashida wameingia mitini
Are You Happy ??
maisha yako ni mazuri sawa ila vile wazazi zako masikini /
Are You Happy Now ??
kwa pisi ulienda kichwa kichwa hukuuliza
ukafika akakutuliza
Are You Happy ??
kuna time Mdomo unaweza ukacheka , ila moyo ukakuuliza
Are You Happy Now ??
 
Je unafuraha , Ama ni Karaha ???
Are you Happy ?
Je unafuraha , Ama ni Karaha ???
Are You Happy Now???
Crush uliyemtaka umempata
ndoa umeisaka umeipata
Are You Happy ??
shule umeenda ume surfer
kazi uliyosomea umeipata
Are You Happy Now ??
Je unafuraha , Ama ni Karaha ??? Aaah
Je unafuraha , Ama ni Karaha ??? Aaaah
 
Are you Happy Now ... ?
Are You Happy ???
Happy Now ???
Are You Happy ???
Are you Happy Now ... ?
Are you Happy Now ... ?
Are you Happy Now ... ?
HAPPY , HAPPY , HAPPY IS THE LIFE
HAPPY , HAPPY , HAPPY IS THE LIFE
HAPPY , HAPPY , HAPPY IS THE LIFE
HAPPY , HAPPY , HAPPY IS THE LIFE
( Machord You Killing It ... !!! )
Written by: Goodluck Ulomi
instagramSharePathic_arrow_out