Lyrics

Nataka tuwe wote milele (Milele), we ndio wa kiafrika
Nataka tuwe wote milele (Milele), we ndio wa kiafrika
Mi nakupendaa (Mi nakupendaa), nikuelezee (Nikuelezee)
Mi nakupendaa (Mi nakupendaa), nikuelezee (Nikuelezee)
Mara nyingi napokwendaa downtown I can see you around
Na marafiki daily wanajua you always on my mind
Yelele, yelele, yelele mamaa (Yelele mamaa) yelele, yelele, yelele mamaa (Yelele mamaa)
We ndo wangu toka before wengine nawaita no, mapenzi ni marefu kama series za 24
Asubuhi nikiamkaa we kwangu kama kioo kwenye kuvutia hadharani hata huoni soo
Nikiwa nawe najihisi niko huru, hutetereki upo imara ka mlima ya ulugulu
Asubuhi nikiamka nafanya kazi kama slave, na hiyo ndo sababu inayokufanya ubaki pre
Baraka za baba na mama unazipata ile sanaa, mi na wewe pamoja mpaka siku tunaoana
You know I got you mamaa, I got you mamaa (I see you baby)
Nataka tuwe wote milele (Milele), we ndio wa kiafrika
Nataka tuwe wote milele (Milele), we ndio wa kiafrika
Mi nakupendaa (Mi nakupendaa), nikuelezee (Nikuelezee)
Mi nakupendaa (Mi nakupendaa), nikuelezee (Nikuelezee)
Usiku mzima deka baby wewe kwangu haukui, we ni kila kitu kwangu kama ulikuwa haujui
Nitakuvisha pete ikifika kesho asubuhi, najua kuhusu mimi walopita siwatambui
Wanaokusemaa usinune hiyo ni hakii, pia ni wemaa, wamezaliwa kusemaa
Usijali we ni special, usiwaze leo uwaze kesho, nakuhitaji zaidi ya instrumental, nakupenda toka way back
Nakuhitaji zaidi ya poshii ama mayback, huu ndio muda wa kutoa posaa, unapendeza hata ukipiga para kama ambar losa
Nikirudi nakukuta umeweka ugali migebuka, alagu umechili kwenye bed
Unasema if you want me I'm ready, now I'm in a hash now
Nataka tuwe wote milele (Milele), we ndio wa kiafrika
Nataka tuwe wote milele (Milele), we ndio wa kiafrika
Mi nakupendaa (Mi nakupendaa), nikuelezee (Nikuelezee)
Mi nakupendaa (Mi nakupendaa), nikuelezee (Nikuelezee)
Written by: Golden Jacob
instagramSharePathic_arrow_out