Music Video

Balaa mc ft Milly nanace~HAPPY BIRTHDAY ( officially Singeli Audio )
Watch Balaa mc ft Milly nanace~HAPPY BIRTHDAY ( officially Singeli Audio ) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Balaa mc
Balaa mc
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Balaa mc
Balaa mc
Songwriter

Lyrics

Diblo one touch
Ooohloliloliloliloliloliloliloliloliloooo
Lete maji tumwagie
Kata keki wauni tujilie
Leo kazaliwa mwanetu sie
Sote kwa pamoja acha tufurahie
Happy birthday
leo siku yako ya kuzaliwa
Happy birthday
usinune mimaji ukimwagiwa
Happy birthday
iyo mikoko leo mbona utajuta kuzaliwa
Happy birthday
kata keki tule tunasubiri kulishwa
Tuko kwa ajili yako
Kwanza sijachelewa kukuwish
Happy birthday miaka mia we uishi tu
ningekupa ata zawadi mshkaji wangu
Ila ndo ivyo apeche alolo sina kitu tu
Ila usijali mda bado kwenye party badae na suprise yako
Iyo ni spesho kwa ajili yako
Naimani utafurahia ndani ya moyo wako
Ooohhna
Ndugu marafiki na majirani tumekusanyika kwaajili yako
Lengo nia na madhumuni tufurahie leo wewe nisiku yako
Leo umezaliwa upya autakiwi kuchafuka
Acha papara acha pupa
Zawadi zote zako watakupa
Kwanza kabla ya yote
Lete maji tumwagie
Kata keki wauni tujilie
Leo kazaliwa mwanetu sie
Sote kwa pamoja acha tufurahie
Happy birthday
leo siku yako ya kuzaliwa
Happy birthday
usinune mimaji ukimwagiwa
Happy birthday
iyo mikoko leo mbona utajuta kuzaliwa
Happy birthday
kata keki tule tunasubiri kulishwa
Tuko kwa ajili yako
Aaacha baaaaria
Jamani siongei sana
sisemi sana
Nitoleeni mtu wangu mmemficha tutakosana
siongei sana
sisemi sana
Bora mumtoe ni mchafue kuliko kukimbizana
Aya sasa mlete mtoto
mlete mtoto
Atakama akiwamkubwa leo mimaji ata mwagiwa
mlete mtoto
mlete mtoto
Atakama akikasirika leo sikuyake kuzaliwa
Aaaaaacha baaaaharia
Dj tusha kula tusha shiba sasa wakati wakucheza
Apokati vitolewe vitu vyote ipatikane nafasi ya kucheza
Aposasa nyimwaemwae sigua gaga kwenye mchanga
Kama nguo imebana kabadilishe toka na kanga
Twende pale bingili chali nionyeshe michezo ya kitanga
Taratibu chunga mzuka usije ukavua moja kanga
kuna watoto
Aaaacha baaaaharia
Balaa mc 26 Kipaji
Nikiwa na diblo one touch touch
Bonyeza baba
Show kali wewe
Timu ile ile 26 kipaji
nakubali watoto wa mbagala temeke kinondoni mpaka ilala
Iyapa nyingine tena
Written by: Balaa mc
instagramSharePathic_arrow_out