Music Video

KWENDAA!! - KHALIGRAPH JONES (OFFICIAL VIDEO)
Watch KWENDAA!! - KHALIGRAPH JONES (OFFICIAL VIDEO) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Khaligraph Jones
Khaligraph Jones
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Brian Ouko Omollo
Brian Ouko Omollo
Songwriter

Lyrics

Sipendi mangoma za Kenya (Kwenda!)
Mi sitambui Omollo (Kwenda!)
Ah, si huyu boy huringa? (Kwenda!)
Mi sijawahi hire madinga (Kwenda!)
Ah, mi sipendi hizo mangoma (Kwenda!)
Mi sitambui Omollo (Kwenda!)
Manze huyo boy huringa (Kwenda!)
Mi sijawahi hire madinga (Kwenda!)
Imebidi nijirushe kwa debe
Hizo makura lazima nibebe
RAO na Ruto wameingiza njeve
Omollo pekee ndo amesimamisha reggae
Kaa nakuboo, chukua wembe umeze (Meza!)
Na hapa sikuji ndio niwabembeleze (Kwenda!)
Swag imetii, imepandishwa ndege
Nakashikisha, utadhani ni veve
MCSK wanahitaji mateke
Nitakuja kwa ofisi niwabakishe ndethe
Kwendeni huko! Matako!
Wasanii ndio mmeamua mtese
Kwenda! Pesa zetu mlete (Kwenda!)
Mi nitawakata kata hizo pembe
Wera hampigi, nyi ni wazembe
Hakuna kuhepa, kwanza tujenge
Rende ni Rong, mbogi ni genje
Mavijana wanalia unenge
Mavijana hawajadishi kakitu
Na bado mnafinyilia wagenge
Pesa iko wapi? We nilipe!
Kwa saa hii tumegoma, wacha kaende
Wacha kaende, mimi sitaki
Na siko solo, niko na kirende
Sipendi mangoma za Kenya (Kwenda!)
Mi sitambui Omollo (Kwenda!)
Ah, si huyu boy huringa? (Kwenda!)
Mi sijawahi hire madinga (Kwenda!)
Ah, mi sipendi hizo mangoma (Kwenda!)
Mi sitambui Omollo (Kwenda!)
Manze huyo boy huringa (Kwenda!)
Mi sijawahi hire madinga (Kwenda!)
Mashonde kwa DM lakini sijibu (Sijibu!)
Juu najua ni jina unataka kuharibu (Haribu!)
Ukiachwa wachika, wachana na wivu (Wachana na mimi!)
Na mimi Omollo, mimi sichipu (Omollo)
Heh, na kaa sikutaki nitakwambia "Kwenda" (Kwenda!)
Juu nikiwa juu ndio nyi hunipenda (Penda!)
Chorea, hii mbogi inaweza kutenda (Tenda!)
Na chini ya waba wako na agenda
Nikiwa Kayole, utanipata kwa Proface (Proface)
Juu huko ndio mi hu-supply in doses
Ngoma nauza, utadhani ni tokens
Hakuna teke, trust the process
Na kaa ni collabo, utabonga na Franko
Amekuwa manager kutoka campo
BET nominee, buda na-run show (Omollo!)
"Omollo unatesa, manze jo, come slow!" (Iyee)
Uh, nyi MCSK ni mafala (Kwenda!)
Uh, mnatupeleka hasara (Kwenda!)
Yeah, you better pay what you owe (Kwenda!)
Nasema nataka hio doh (Kwenda!)
Manze, tumechoka na curfew (Kwenda!)
Uhunye, jo, rada ni chafu (Kwenda!)
Si usikie kilio ya watu? (Kwenda!)
Ghetto, mbogi iko njaa tu (Kwenda!)
Sipendi mangoma za Kenya (Kwenda!)
Mi sitambui Omollo (Kwenda!)
Ah, si huyu boy huringa? (Kwenda!)
Mi sijawahi hire madinga (Kwenda!)
Ah, mi sipendi hizo mangoma (Kwenda!)
Mi sitambui Omollo (Kwenda!)
Manze huyo boy huringa (Kwenda!)
Mi sijawahi hire madinga (Kwenda!)
Kwenda!
Kwenda!
Kwenda!
Kwenda!
Kwenda!
Kwenda!
Kwenda!
Kwenda!
Written by: Brian Ouko Omollo
instagramSharePathic_arrow_out