Top Songs By Ricky Melodies
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ricky Melodies
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ricky Melodies
Songwriter
Lyrics
INTRO
Zegede Aaah, Zegede,
Henda Vino Aaah, Henda vino,
Taichi Aaah, Taichi Amba Aahh...!
Libelaaaaaa..Eeeh,Ricky Melodies!
Mijikenda Band! Sikia mutswano.
VERSE 1
Mtoto Mashallah, Umwana wa hani weeeee,
Kwanza Umbari yani, Ama Umumidzichenda,
Uko top Una fly, Umwana wa hani weeeee,
Kunanyesa be ye Mutsedza, Nirehe Hunda,
Nimekucheki toka far away,
Kadzoyo kangu nako, Moyo Moyo,
Nikikumiliki Sitakucheza, Nimuleluya Mimi.
NimeKuluku toka far Away,
Nimekuelewa Kushinda Maelezo,
Nikikumiliki sita kuplay, Sita kuplay,
Usijali security ipo,
Baba ni mzee nyumba Kumi, na muvaha wangu ni Sungu Sungu,
Mino Mwenye Napiga Jimu jikurinde,
Kundaiywa ni mutu,
Na Ukisota, Ndakwenda Nikajeme,
Nikugulire Taiti, na Madera,
Umenielewa mpenzi, Ona Unavyo Smile
Na Usiniambie kwenzi, Utanibanda Moyo.
Umenielewa mpenzi, Ona Unavyo Smile
Yo zali motema nangai, Toko zala lisanga LIBELA.
Umenielewa mpenzi, Ona Unavyo Smile
Na Usiniambie kwenzi, Utanibanda Moyo.
Umenielewa mpenzi Ona Unavyo Smile
Yo zali motema nangai, Toko zala lisanga LIBELA.
CHORUS.
Nalingio Libela, LIBELA,
My Sweat Motema, Forever,
Nakulavingi, LIBELA,
Chaguo la moyoni, Forever.
Nalingio Libela, LIBELA,
My Sweat Motema, Forever.
Nakulavingi, LIBELA,
Chaguo la moyonii, Forever,
VERSE 2
Baby, Kila jumamosi Ndakuhirika Shopping mkoroshoni,
Honey, na Pesa ya mahumizi, Ndakupa kila siku Hamusini,
Usongwe Shikamoo, Upendezeee,
Na ukitaka morej ndakugulira kabengi,
U save tha December,
Namanya mana wivu, Ukishona Satini pindua,
Nami mwisho wa Mwezi, Ndakugulira Kamisi na kirindaaa,
We mama lao kwenye Fasheni, Kamakufika hatha bule,
Na wakileta yao jiepushe honey, kwani wanatuhusu nini,
Umenielewa mpenzi, Ona Unavyo Smile,
Na Usiniambie kwenzi, Utanibanda Moyo,
Umenielewa mpenzi, Ona Unavyo Smile,
Yo zali motema nangai, Toko zala lisanga LIBELA.
Umenielewa mpenzi, Ona Unavyo Smile,
Na Usiniambie kwenzi, Utanibanda Moyo,
Umenielewa mpenzi, Ona Unavyo Smile,
Yo zali motema nangai, Toko zala lisanga LIBELA.
SOLO
Twende, twende sasa, sikia utamuu,
Zegende ahh, zegede,
Henda vino ah, henda vino,
Taichi ah, taichi ,
Taichi ah, taichi,
Ambwa ahh, Nindakuluma bewe, kuluma bewe,
Nindakuluma bewe,
Its ricky melodies, twende, twende,
Boje, boje, boje, Aaboo
Sikia mutswanoo, Mijikenda Band,
Twende, twende sasa,
CHORUS.
Nalingio Libela, LIBELA,
My Sweat Motema, Forever,
Nakulavingi, LIBELA,
Chaguo la moyoni, Forever,
Nalingio Libela, LIBELA,
My Sweat Motema, Forever,
Nakulavingi, LIBELA,
Chaguo la moyonii, Forever,
Nalingio Libela, LIBELA,
My Sweat Motema, Forever,
Nakulavingi, LIBELA,
Chaguo la moyoni, Forever,
Nalingio Libela, LIBELA,
My Sweat Motema, Forever,
Nakulavingi, LIBELA,
Chaguo la moyonii....
----------------End-----------------
Written by: Ricky Melodies