Credits
PERFORMING ARTISTS
V-Be
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Philip Munyao Mutuku
Songwriter
Dennis Njoroge Wambui
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Mi napenda viazi karai
But nimenoki mathe wa mayai
Wote wako soko moja, na nikona mbao moja
Na wote wawili wanaidai
[Verse 2]
Mi napenda viazi karai
But nimenoki mathe wa mayai
Wote wako soko moja, na nikona mbao moja
Na wote wawili wanaidai
[Chorus]
Mbao nimpatie nani, mhh
Nikule food gani, mhh
I need to be wise with my cash
Na sitaki kupoteza crush
Mbao nimpatie nani, mhh
Nikule food gani, mhh
Juu wote wako soko moja, na nikona mbao moja
Na wote wawili wanaidai, yeah
[Verse 3]
Nimerudi soko but sijui niko side gani
A while back nilikuwa side ya vitunguu
Nipe carrot nione njaa ikiwa mbali
Nimenyanya na wa nyeri hana ki waru
Me ukuwa supplier wa mihogo na cucumber
Na wa Nyanza kimiwa humumunya
Huku ni minji minji huku ni samaki
[Verse 4]
Siwezi kula sukuma daily, di muthamaki
Finya ovacado ndio ujue kama imeiva
Usiekewe mchele ulale kama ujashiba
[Verse 5]
Mama nduta huni entice na sambusa
Ye huniambia kopa kesho utarudisha
Mama Akinyi ananipatia mukhombero for free
Ye ukula nanasi alafu anawink at me
Me ni mkulima huchagua jembe mami
But sasa hii mbao
[Verse 6]
Mbao nimpatie nani, mhh
Nikule food gani, mhh
I need to be wise with my cash
Na sitaki kupoteza crush
Mbao nimpatie nani, mhh
Nikule food gani, mhh
Juu wote wako soko moja, na nikona mbao moja
Na wote wawili wanaidai
[Verse 7]
Nimechoka kula githeri
Nataka nyama nionyeshwe butchery
Mbegu mbegu kitu kama groceries
Dilemma, Mbao inakosanisha wamama
Nimechoka kula githeri
Nataka nyama nionyeshwe butchery
Mbegu mbegu kitu kama groceries
Dilemma, mbao inakosanisha wamama
[Chorus]
Mbao nimpatie nani
Nikule food gani
I need to be wise with my cash
Na sitaki kupoteza crush
Mbao nimpatie nani
Nikule food gani, mmh
Juu wote wako soko moja, na nikona mbao moja
Na wote wawili wanaidai
[Outro]
Mbao nimpatie nani
Nikule food gani
I need to be wise with my cash
Na sitaki kupoteza crush
Mbao nimpatie nani
Nikule food gani, mmh
Juu wote wako soko moja, na nikona mbao moja
Na wote wawili wanaidai
Written by: Dennis Njoroge Wambui, Philip Munyao Mutuku