Featured In

Lyrics

Kwani mnataka Madjozi aje ama nini, niahiambe aliki
Mbona mwenzako anasema napenda lakini yeye haniambii
Haweza akashindwa kifungo ata mia mbili, ela hanipigii
Hivi nasema itabidi aongee na mimi, lakini hanisikii
Kusubiri mimi kweli sitaweza
Unanifeeli, lakini huwezi kunionyesha
Sasa mimi nikisihi unanipenda
Hukuniambia eh ndio maana nilienda
Hukuniambia, huku-hukuniambia (Huku), niambia, huku-hukunambia
Niambia, huku-hukunambia (Huku), niambia, huku-hukunambia
Hukuniambia kwamba wewe unanipenda, hukuniambia huku-huku
Hukuniambia kwamba wewe utaniweza, hukuniambia, huku-huku
Huku-huku, (Huku), huku-huku, huku
Huku-huku, (Huku), huku-huku, huku
Huku-huku, (Huku), huku-huku, huku
Huku-huku, huku-huku, huku
Sasa ukiniona na watu unakasirika, roho inakunjika
Usiku umeniona natembea na arayika, lakini hukuniita, mpaka nyumbani umenitumia aje akipa kini hukunalika
Wasa wasema nionyeshe wacha kunificha bila kuniambia
Kusubiri mimi kweli sitaweza
Unanifeeli, lakini huwezi kunionyesha
Sasa mimi nikisihi unanipenda
Hukuniambia eh ndio maana nilienda
Hukuniambia, huku-hukuniambia (Huku), niambia, huku-hukunambia (Huku)
Niambia, huku-hukunambia, niambia, huku hukunambia
(Huku) Niambia, huku-hukunambia, hukunambia kwamba wewe unanipenda
Hukuniambia, huku-huku, hukuniambia kwamba wewe utaniweza, hukuniambia, huku-huku
Huku-huku, (Huku), huku-huku, huku
Huku-huku, (Huku), huku-huku, huku
Huku-huku, (Huku), huku-huku, huku
Sho, huku-huku, huku-huku, huku, aish, Sho!
Written by: Maya Wegerif, Siyabulela Benedict Koom
instagramSharePathic_arrow_out