Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Fasy Masauti
Fasy Masauti
Performer
Kato Kumbi
Kato Kumbi
Music Director
COMPOSITION & LYRICS
Fasy Masauti
Fasy Masauti
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Teaz Villah
Teaz Villah
Producer

Lyrics

Weka Vant Weka Nyagi Kisha Ipendezeee Aiboo
Ayaaa ayaaaa Sawaa sawaaa
Bosi usivuruge kichwa yangu
Nakuomba mama lete pombe
Binti Usitese Moyo wangu
Nakuomba Mama Lete Pombe
Maisha yenyewe ni chenga daaah
Basi Lete Pombe
Hela zenyewe ni chache
Zina Stress zina stress
Weka Vant Weka Nyagi Kisha Ipendezeee lete pombeee
Weka Vant Weka Nyagi Kisha Ipendezeee sawaaa sawaaa
Sijanywa toka jana sina amani aii
Nipe Pombe Nilewe lewe jamani
Faru John shotiii ipande kichwaaani
Nipagawe nikemee mashetani
Shindwaaaa
Kichwa itulie
Moyo utulie
Nafsi itulieee lete pombe
Lete Pombe aiboo
Kichwa itulie
Moyo utulie
Nafsi itulieee lete pombe
Lete Pombe aiboo
Weka Vant Weka Nyagi Kisha Ipendezeee lete pombeee
Weka Vant Weka Nyagi Kisha Ipendezeee
Sijanywa toka jana sina amani aii
Nipe Pombe Nilewe lewe jamani
Faru John shotiii ipande kichwaaani
Nipagawe nikemee mashetani aibooo
Shindwaaaa
Kichwa itulie
Moyo utulie
Nafsi itulieee lete pombe
Lete Pombe aiboo
Kichwa itulie
Moyo utulie
Nafsi itulieee lete pombe
Lete Pombe aiboo
Weka Vant Weka Nyagi Kisha Ipendezeee lete pombeee
Weka Vant Weka Nyagi Kisha Ipendezeee lete pombee
Lete Pombeee aiboooo aibooo
Sijanywa toka jana sina amani aii
Nipe Pombe Nilewe lewe jamani
Faru John shotiii ipande kichwaaani
Nipagawe nikemee mashetani aibooo
Aiiiiii
Nimepombeka Sina mwingine zaidi
Nimepombeka Sina mwingine zaidi
Nimepombeka Sina mwingine zaidi
Nimepombeka Sina mwingine zaidi
Mama niweweeeee
Nimepombeka
Nimepombeka
Nimepombeka
Sina mwingine Sinaaaaaaaa
Written by: Fasy Masauti
instagramSharePathic_arrow_out