Top Songs By Pryshon
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Pryshon
Performer
Pricilla Gathoni
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Pricilla Gathoni
Songwriter
Lyrics
I wrote these words for you my baby
Sijakuandikia for sometime-ime
But tonight I want you badly
I've been thinking of you through the night
Oh
Aki leo ningekuona,ningekukula ningekumaliza
Natamani kuwa na wewe
Natamani kuwa na we
Moyo wangu utapona
Nitakuja ata na giza
Natamani kuwa na wewe
Natamani kuwa na we
Call me
Sitachelewa,chelewa
Sitachelewa,chelewa
Sitachelewa
I want to be with you
Sitachelewa,chelewa
Sitachelewa,chelewa
Sitachelewa
I want to be with you
Suda suda
Suda suda yeah
Umepiga right on time
Ni kama umekuwa ndani ya akili yangu
Nimekunywa kawine,kakaninice
I always think about you
Hope you're doing fine
Soft life,some wine and dine
Kwangu hii ni kama sign
So won't you come to mine's
Aki leo nikikuona,nitakuwasha nitakumaliza
Hizi streets zikona njeve,come take me to heaven
Moyo wangu utapona, nimekuwa kwa giza
My heart is waiting for you
Hope you're coming through
Whoaa
Sitachelewa,(promise) chelewa
Sitachelewa,(aki ulini promise) chelewa
Sitachelewa
I want to be with you (I want to be with you ohh)
Sitachelewa,(promise) chelewa
Sitachelewa,(akisiamini) chelewa
Sitachelewa (utafikalini)
I want to be with you
Am so free tonight I'm so free
I'm thinking of you Mary Jane and loving
Jioni tukiguzanisha ngozi
Touch me baby touch me
Lonely you got me lonely
Yyyy you're killing softly
Kufikakesho akimisioni
Niko njiani.
Aki leo ningekuona,ningekukula ningekumaliza
Natamani kuwa nawewe
Natamani kuwa na we
Moyo wangu utapona,nimekuwa kwa giza
My heart is waiting for you
Hope you're coming through
Whooaaa
Sitachelewa,chelewa
Sitachelewa,chelewa
Sitachelewa
I want to be with you
Sitachelewa,chelewa
Sitachelewa,chelewa
Sitachelewa
I want to be with you
Writer(s): Jibril Gabriel, Benson Mutua
Lyrics powered by www.musixmatch.com