Top Songs By Frankie Maston
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Frankie Maston
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Frank Maston Migambile
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Alvin Edmund Emil
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Vaa vizuri tupendeze
Nishike mkono na tusonge
Nikupeleke kwake mama
Wewe nimekuchagua yeah yeeah
[Verse 2]
Usiwe mbali namii
Njoo niweke kando yako
Hili na ahidi
Ntakupenda peke yako
[PreChorus]
Wewe na mimi, wawili
Ahadi, tuziweke moyoni
Ntakupenda kwa bidii
Wewe na miii, wawili
Mapenzi, tuyatunze moyoni
Ntakupenda kwa bidii
[Chorus]
So let's fall in love
Let's fall in love
[Verse 3]
Leo pingu tuzifunge
Na tenzi nzuri tuziimbe yeah yeah
Na ahadi tuziweke
Nyimbo nzuri tuzicheze
Ishi nami nidekeze yeah, yeah, yeah
[Verse 4]
Usiwe mbali nami
Njoo uniweke kando yako
Hili nna ahidi
Ntakupenda peke yako
[PreChorus]
Wewe na mimi, wawili
Ahadi, tuziweke moyoni
Ntakupenda kwa bidii
Wewe na mii, wawili
Mapenzi, tuyatunze moyoni
Ntakupenda kwa bidii
[Chorus]
So let's fall in love
Let's fall in love
[Verse 5]
I believe we're meant to be
I feel so much love in me
This is us against the world, you and me
[PreChorus]
Wewe na mimi, wawili
Ahadi, tuziweke moyoni
Ntakupenda kwa bidii
Someone's fallen in love
[Chorus]
Let's fall in love
So let's fall in love
Let's fall in love
Written by: Frank Maston Migambile