Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mercy Masika
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mercy Masika
Songwriter
Timothy Boikwa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Timothy Boikwa
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Nmeishi kwa nyumba yako, oh
Miaka mingi
Lakini sasa nataka kwako, oh
Kusongea zaidi
Upendayo nami nipende
Sauti nifahamu zaidi
Nione kama uonavyo we-eiwe
Upendayo nami nipende
Sauti nifahamu zaidi
Nione kama uonavyo we-eiwe
[Chorus]
(Nivute) nivute eiye Baba karibu na wewe
Naulenga moyo wako Baba kama Daudi
(Oh-ooh) Njia zangu maisha yangu
Yalingane na neno lako (Yalingane na neno lako)
Njia zangu maisha yangu, yakupendeze
Oh-ooh (Ooh eii eh)
[Verse 2]
Nimeamua maisha yangu
Kwa utukufu wako
Yesu ukiwa nami
Oh wanibadilisha kama samaki ahitaji maji
Ndivyo nakuhitaji
Wewe ndiwe lengo langu we-eiwe
Kama samaki ahitaji maji
Ndivyo nakuhitaji
Wewe ndiwe lengo langu we-eiwe
[Chorus]
(Nivute) nivute eiye Baba karibu na wewe
(Karibu na wewe) Naulenga moyo wako Baba kama Daudi
(Njia zangu) Njia zangu maisha yangu
Yalingane na neno lako
Njia zangu maisha yangu, yakupendeze
[Chorus]
Nivute eiye Baba karibu na wewe
Naulenga moyo wako Baba kama Daudi
Njia zangu maisha yangu
Yalingane na neno lako (Oh yea, yea, yea)
Njia zangu maisha yangu, yakupendeze
[Chorus]
(Oh nivute) nivute eiye Baba
(Oh nivute) karibu na wewe
Naulenga moyo wako Baba kama Daudi
Njia zangu (Njia zangu)
Maisha yangu (Njia zangu)
Yalingane na neno lako (Oh-ooh)
Njia zangu maisha yangu, yakupendeze we, oh-oh
[Outro]
Ooh nivute, nivute
Nivute baba, nivute
Nivute karibu na wewe eeh
Written by: Mercy Masika, Mercy Munee, Timothy Boikwa