Lyrics

Huleangi huokokangi ocha kwenu huendangi
Huoangi hupendanangi na pia vaccine hutaki
Hatukuelewi
Hatukuelewi
Hatukuelewi
Shida yako hukuwanga nini
Hatukuelewi
Hatukuelewi
Hatukuelewi
Shida yako hukuwanga nini
Sinyamazangi si dondosangi mi hukula kfc
Hio nkuku na ugali
Siendi na uber kuja na gari hizi ni gani
We kwenda tu nyumbani
Naskia mshy na unapenda tu za gizani
Ka ndani na umedunga miwani, Aje?
Jirani hizi vitu gani story za mapicha nikitoka tu kejani
Itisha bill nitalipa zikifika msela Amezima
Hamuelewangi hatumuelewangi unadai binti ukijidai ni binti wa kanisa
Hatukuelewi
Hatukuelewi
Hatukuelewi
Shida yako hukuwanga nini
Hatukuelewi
Hatukuelewi
Hatukuelewi
Shida yako hukuwanga nini
Nina methali na ni kali
Mpenda kuni hali nauli
Nina swali nina swali
Jina thotore ni totore wa ma thiodoor
Mwaka imeisha na bado uko single
Ama tukupost huko juia
Tulichangisha tukamtuma mzinga
Sahii anapiga makosa imefanyika
We dont dai the rakers
We dont acquire the mshoros
Hatukuelewi
Hatukuelewi
Hatukuelewi
Shida yako hukuwanga nini
Hatukuelewi
Hatukuelewi
Hatukuelewi
Shida yako hukuwanga nini
Mi staki zishuke niki nyanya
Staki unipate nimewasha
Kuna kitu naskia inaiwasha
Mpaka pedi ashaanza kunipasha
Hii ni relief kama zimeshika bora una release
Siwezi defeat niko jaba maini naskia niko matings
Leo nataka ka christmas nataka zinshike ka 6 months
Sauti nibadilishe ka chipmanks
Mkono ni refu sijui ni kiss sijui ni kiss aiii
Msupa vile umeiva itabaki vile nimeroesa
Shida si maji shida baesa
Shida si mingi shida ni pesa
Na shida ni mimi napendanga pesa
Hatukuelewi
Hatukuelewi
Hatukuelewi
Shida yako hukuwanga nini
Hatukuelewi
Hatukuelewi
Hatukuelewi
Shida yako hukuwanga nini
Written by: Francis Macharia, Tony Kinyanjui
instagramSharePathic_arrow_out