Top Songs By Benzema
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Benzema
Performer
H_art the Band
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Benzema
Songwriter
Lyrics
We all need somebody dada, call me I will come runnin'
Vako zako za summer bunny dada, zimenibamba zaidi ya wale
Baby I love the way when you going down, ukicheza kakitu twisty kilunda
Utapenda nikikuchezea kinanda mama, nitakulinda kama Wakanda Forever
Maselina super Selina, you give me na na inachizisha
Tunabaki shingo kupinda, kwanza hio rinda iki ikipinda
Freshy! Na ukicheza nitacheza
Freshy! Na ukisonga nitasonga
Freshy! Karibia tusakate densi
Wacha ikuwe kesi
Freshy! Oh vuyanzi mwana niko na wewe, zituwai show kwa morio wangu na wewe
Umenipa pendo tangu jadi hadi wa leo, tumevuka trouble nyingi tukiwa mavileo
Sasa wamefuata penzi letu kwa mitandao, tumekuwa mfano wanatangaza kwa redio
Penzi letu limepita yote majaribio, mambo yetu hayawahusu ndewe wala sikio
Hata tukikula chapo ndondo, bado love iko moto moto
Maneno tam tam na matendo, huo ndo mtindo
Freshy! Na ukicheza nitacheza
Freshy! Na ukisonga nitasonga
Freshy! Karibia tusakate densi
Wacha ikuwe kesi
Freshy! We ni Mekatilili wa Menza, a super woman and a wonder woman
Na spear ulipeleka wapi my woman, nataka tu-hunt tuhame ringa
Nataka wewe uko cumbersome, beer mbili troublesome
Toto penting kusota haram, anataka Alenjandro anataka bam bam
Lakini uko na tabia weird, fan wa Selina na Maria (Uwongo)
Ukwaju plus bhajia (Ni tamu), Sunday service Lejo Maria
Freshy! Na ukicheza nitacheza
Freshy! Na ukisonga nitasonga
Freshy! Karibia tusakate densi
Wacha ikuwe kesi
Written by: Benzema