Lyrics

Kaka Empire is the lifestyle Bern Music Buda ah ata sitaki kukuibia Najua we ni hustla so jo buda izia But since, since we are all here Nimegrow na ile kizazi ya no fear Hakuna haja nikuje kwa mlango yako kukubishia So sai nipatie tu ganji mi nitaishia Nipatie ganji mi nitaishia Buda nipatie tu ganji mi nitaishia Mzae ndo nimeanza job 2 days ago Natrek ni save ndo niingie ndani Eastlando Nilibribe nipate job jo through kimchango Mother ni msick ako pale Dando Sijapanda mat nisave ndo nimbuyie dawa Hoping manze vitu zitakuwa sawa So niwachie ganji mi nitaishia Please manze niwachie ganji mi nitaishia Kila mtu ana shida na yako sitaki kuskia Hata ukinishow nini si ati nitasusia Imagine haikuwa iwe yangu career Vile unanicheki hapa nina degree ya Engineer Wife hana phone, na mtoi pia ni msick Ile pain ako nayo buda mi hulia Usinisumbue nikisaka makobole Ni vile 8-4-4 imetupiga mandole Nipatie tu ganji buda mi naishia Bro, nipatie ganji mi naishia Bro, nipatie ganji mi naishia Bro Tumegrow from the same struggle, nini? Kumekuwa pia na wagondi wa Mysa (Usiniite mgondi buda) Iza sikumaanisha kuita hivyo The more unatumia hii kitu unakaribisha kifo Niko na punch hapa labda nikupe kisoo Kwa sai niachie tu hii ganji mi nitaishia Niachie hii ganji mi nitaishia Niachie hii ganji mi nitaishia Oya oya buda buda wacha ufala But unajua maparo walispend doh sana Ilifika point mi na wao tukakosana Am depressed bana nimeona hasara Hio doh ya chuo wangenipea nifungue biashara Irony ni madropouts ndio madosi Mi na degree yangu sina msosi Buda, nipatie ganji mi naishia Unajua nani ako na gun, nipatie ganji mi naishia Unajua nani ako na gun, nipatie ganji mi naishia Najua nani ako na gun pia nani ako na njora Lakini nimedecide vile future nitaichora We jua kwanza am the only son Nimeraise iwa na single mum Atleast nimfurahishe apone, niache tu man Niachie tu hii ganji mi nitaishia Sitasema niachie tu ganji mi nitaishia Itabidi nimedecide buda Itabidi nimedecide buda pole bro Hosi ya mtoi wanangoja pale doh The government fuck off ndo nahangaisha Na ni lini hunger inaisha Wacha mto alive mathako ashaona maisha Lazima tu choose hata kama nachachisha It was nice when it lasted
Writer(s): Kennedy Otieno Ombima Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out