Top Songs By Godwill Babette
Credits
PERFORMING ARTISTS
Godwill Babette
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Godwill Babette
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Dominic Khaemba
Mixing Engineer
Lyrics
Upendo wako haulinganishwi kamwe na lolote
Na gongo lako lanifariji mimi kila saa
Upendo wako halinganighwi kamwe na lolote
Na gongo lako lanifariji mimi kila saa (upendo wako)
Upendo wako haulinganishwi kamwe na lolote
Na gongo lako lanifariji mimi kila saa
Mkono wako uko juu yangu, umenizingira nyuma na mbele
Nappa juu kama tai, na maamlaka zaidi ya ndege
Mkono wako uko juu yangu, umenizingira nyuma na mbele
Nappa juu kama tai, na maamlaka zaidi ya ndege
Upendo wako haulinganishwi kamwe na lolote
Na gongo lako lanifariji mimi kila saa
Upendo wako halinganighwi kamwe na lolote
Na gongo lako lanifariji mimi kila saa
Gongo lako na fimbo yako
Mkono wako uko juu yangu, umenizingira nyuma na mbele
Nappa juu kama tai, na maamlaka zaidi ya ndege
Mkono wako uko juu yangu, umenizingira nyuma na mbele
Nappa juu, yeah
Mungu wewe ni mzuri
Mzuri, mzuri sana
Mungu wewe ni mwema
Ni mwema, mwema kwangu
Mungu wewe ni mzuri
Mzuri, mzuri sana
Mungu wewe ni mwema
Ni mwema
Mungu uyu mwema
Ni mwema kwangu
Written by: Godwill Babette