Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Elani
Elani
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Elani
Elani
Songwriter
Kevin Macharia
Kevin Macharia
Songwriter
Bryan Chweya
Bryan Chweya
Songwriter

Lyrics

[Intro]
Kwani wapi nilikosea
Kwani wapi nilikosea
[Verse 1]
Kufumba kufumbua hasira ni hasara
Pesa ndiyo kitu sina jukumu ni lazima
Tabibu wangu, amenitoroka
Tabibu wangu ameniacha
[PreChorus]
Ameniacha mii (Aai ooh)
Hoi hoi iih
Kwani wapi nilikosea aah
Kwani wapi nilipotea nikaachwa mataa
[Chorus]
Anaye ni zuzu anayenizuzua aah
Naye ni zuzu amenitorokaa
(Ameniachaa) hoi hoi iiih
(Ameniachaa) hoi hoi iih
[Verse 2]
Uliendaa ulienda wapi pezi limenichanganya
Sijui niko wapi.
Ulisema ni mimi tu
Ukanichocha chocha it's me and you ooh
[PreChorus]
Ameniacha mii, hoi hoi
Kwani wapi nilikosea aah
Kwani wapi nilipotea nikaachwa mataa
Anaye ni zuzu ah naye ni zuzu aah
[Chorus]
Anaye ni zuzu amenitoroka
(Ameniacha) Hoi hoi iih
(Ameniacha) Hoi hoi iih
Kwani wapi nilikosea aah
Kwani wapi nilipotea nikaachwa mataa
Anaye ni zuzu ah anaye ni zuzu aah
[Outro]
Ulienda aah ulienda wapi
Hapa nilipo ninakumisi yoh, yoh, yoh, yoh
Ulienda aah ulienda wapi
Hapa nilipo ninakumisi yoh, yoh, yoh, yoh
Ulienda aah ulienda wapi
Hapa nilipo ninakumisi yoh, yoh, yoh, yoh
Ulienda aah ulienda wapi
Hapa nilipo ninakumisi yoh, yoh, yoh
Ninakumisi yoh, yoh, yoh, ninakumisi yoh, yoh, yoh
Ninakumisi yoh, yoh, yoh, ninakumisi yoh, yoh, yoh
Ninakumisi yoh, yoh, yoh, ninakumisi yoh, yoh, yoh
Ninakumisi yoh, yoh, yooh
Ninakumisi yoh, yoh, yoh, ninakumisi yoh, yoh, yoh
Ninakumisi yoh, yoh, yoh, ninakumisi yoh, yoh, yoh
Ninakumisi yoh, yoh, yoh, ninakumisi yoh, yoh, yoh
Ninakumisi yoh yoh yooh
Written by: Bryan Chweya, Elani, Kevin Macharia
instagramSharePathic_arrow_out